Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ukumbi mpya wa sherehe jijini Dar es salaam wavutia wengi

 Ukumbi mpya wa sherehe umeanza kazi pale pembeni pa Kanisa la Mtakatifu Peter (St. Peter's) jijini Dar es salaam, ambao unaongeza idadi ya kumbi za aina hiyo zenye kila kitu cha kisasa. Na tayari umekuwa kimbilio la wadau wengi wenye sherehe mbalimbali.Usiku wa kuamkia leo Ankal alikuwepo kwenye ukumbi hio maridadi katika mnuso wa send off uliohudhuriwa na wadau kibao, akiwemo Paroko wa kanisa hilo Fr. Kaombwe (kushoto kwa Ankal) ambaye pamoja na hao wadau wengine ni wadau wakubwa wa Globu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Asasi ya Tushikamane Pamoja Foundation (TPF) yawaandalia Wazee wasiojiweza sherehe ya Krismas na Mwaka Mpya Courtyard protea hotel jijini Dar es salaam

Taswira za shughuli malumu ya chakula cha mchana iliyofanyika pale Courtyard Protea hotel ya Sea View jijini Dar es salam  kwa ajili ya wazee wasiojiweza wanaosaidiwa na Asasi ya Tushikamane Pamoja Foundation siku ya Jumamosi tarehe 19 Desemba, 2015. Shughuli iliandaliwa na uongozi wa  Protea na Rickshaw kwa ajili ya kusherehekea Krismas na mwaka mpya. Jumla ya wazee 60 na wajukuu wao  walikaribishwa na kusaidiwa na wafanyakazi wa Protea. Viongozi pamoja na wahudumu waliopokea wageni wao...

 

11 years ago

Michuzi

FILAMU ZA SWAHILIWOOD ZAZINDULIWA RASMI KATIKA UKUMBI WA CENTRUY CINEMAX, OYSTERBAY, JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi wa Media For Development International (MFDI) – Tanzania Bw. John Riber akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Filamu tatu chini ya mradi wa Swahiliwood. MFDI inatambua umuhimu wa tasnia ya filamu (ambayo kwa sasa inajulikana kama Bongo movie), na sio tu kwamba ni daraja linaloelezea habari za kijamii, lakini pia kama tasnia am­bayo inaweza kuleta maendeleo na ajira kwa vijana wa Kitanzania.

Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika usiku wa...

 

10 years ago

Michuzi

Usikose usiku wa ‘Stara Fashion Show’ leo ukumbi wa City garden jijini Dar es salaam

Ni usiku wa ‘Stara Fashion Show’ ambayo inategemea kufanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 13 June 2015. Hivyo hupaswi kukosa show hiyo kwani Mama wa mitindo alimaarufu kwa Jina la Asya Idorous Khamsin ataipamba Fashion Show hiyo kwa mitupia ya hatari, Itakuwa ni mapema sana kuanzia saa moja jioni Katika Ukumbi wa City Garden ni onyesho la kipekee lenye mavazi ya heshima tofauti na jinsi ambavyo umezoe kuona Fashion Show zingine.
Usiku huo umeandaliwa na Kampuni ya ‘Jast Tanzania Limited’ chini...

 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MUUNGANO ZAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali wa ndani na nje ya nchi.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la Jeshi la wananchi… ...

 

10 years ago

Michuzi

sherehe za miaka 51 ya Muungano zafana jijini Dar es salaam leo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo  kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Davis Mwamunyange Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akienelea kuwapungia mkono kwa furaha kuwasalimia wananchi Rais wa Zanzibar Dkt...

 

11 years ago

Michuzi

Sherehe za mei mosi uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam



Kwa video hii na nyingine kibao za sherehe za Mei Mosi 
BOFYA HAPA

 

11 years ago

Michuzi

Sherehe za Kuadhimisha Siku ya Afrika Zafana jijini Dar es Salaam

 Wanafunzi wakiwa wamebeba bendera mbalimbali za nchi za Afrika na ile ya Umoja wa Afrika wakiwa katika maandamano kuelekea Viwanja vya Karimjee.   Waheshimiwa Mabalozi wa Nchi za Afrika nchini Tanzania wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Afrika  Waheshimiwa Mabalozi wa Nchi za Afrika nchini Tanzania wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Afrika  Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb) aliyevaa suti ya rangi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani