Ulemavu si sababu ya kubweteka
Pamoja na changamoto ya ulemavu, walemavu wana nafasi ya kujishughulisha kujipatia riziki
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 May
Uzuri, umaarufu usiwe sababu ya kubweteka
Ni jambo la kawaida kwa wasichana warembo kushindwa kufanya shughuli za kuwaingizia kipato wakiamini kuwa mwonekano wao hauendani na shughuli hizo.
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Watakiwa kuacha kubweteka, wafanye kazi
NA PRISCA MSHUMBUSI, MWANZA
WAKAZI wa kata ya Mbugani jijini Mwanza, wametakiwa kujitolea ili kujiletea maendeleo badala ya kusubiri kufanyiwa kila kitu na serikali.
Wito huo ulitolewa jana na Mwenyekiti wa
Mtaa wa Mabatini Kaskazini, Ntobi Boniface, alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, ambapo alisema kujituma huleta maendeleo katika jamii.
Alisema kuwepo changamoto hususan katika utengezaji wa barabara za mitaa, ujenzi wa maabara na miradi mingine ya maendeleo, ni kikwazo kwa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania