Uzuri, umaarufu usiwe sababu ya kubweteka
Ni jambo la kawaida kwa wasichana warembo kushindwa kufanya shughuli za kuwaingizia kipato wakiamini kuwa mwonekano wao hauendani na shughuli hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Ulemavu si sababu ya kubweteka
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Watakiwa kuacha kubweteka, wafanye kazi
NA PRISCA MSHUMBUSI, MWANZA
WAKAZI wa kata ya Mbugani jijini Mwanza, wametakiwa kujitolea ili kujiletea maendeleo badala ya kusubiri kufanyiwa kila kitu na serikali.
Wito huo ulitolewa jana na Mwenyekiti wa
Mtaa wa Mabatini Kaskazini, Ntobi Boniface, alipozungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, ambapo alisema kujituma huleta maendeleo katika jamii.
Alisema kuwepo changamoto hususan katika utengezaji wa barabara za mitaa, ujenzi wa maabara na miradi mingine ya maendeleo, ni kikwazo kwa...
10 years ago
Bongo522 Jan
New Music: Mabeste — Usiwe Bubu
9 years ago
Bongo505 Oct
New Video: Mabeste — Usiwe Bubu
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Uwenyekiti Bunge la Katiba usiwe wa majaribio
9 years ago
Mtanzania30 Sep
Mabeste na mkewe kwenye ‘Usiwe Bubu’
NA SHARIFA MMASI
MSANII wa hip hop nchini, William Ngwi ‘Mabeste’, anatarajiwa kuachia wimbo mpya alioimba peke yake utakaotamba kwa jina la ‘Usiwe Bubu’.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Mabeste alisema lengo la wimbo huo ni kuelimisha jamii kuwa na desturi ya kuweka mambo wazi ili kupata ufumbuzi utakaowatatulia matatizo.
“Niko njiani kuachia ngoma mpya itakayosikika masikioni mwa mashabiki kwa jina la ‘Usiwe Bubu’ ambayo nimeimba bila kumshirikisha mtu.
“Natoa wito kwa mashabiki wa...
11 years ago
BBCSwahili02 May
Chunga usiwe mwathiriwa wa mapenzi mitandaoni
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Urais usiwe siri, sio jando
MWANZONI mwa mwaka 1995, Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere alishangazwa na tabia ya wanaoutaka urais kutopenda kujiweka wazi ili wananchi wawaelewe. Eti kila alipouliza ni kina nani wanautaka...
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Msigallah: Mjadala usiwe wa Muungano pekee