Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uli Hoeness jela kwa kukwepa kulipa kodi

Mahakama nchini Ujerumani imemhukumu Rais wa, Bayern Munich, Uli Hoeness, miaka 3 na miezi sita jela kwa kukwepa kulipa kodi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI

Rais wa Bayern Munich, Uli Hoeness. Rais wa Bayern Munich amehukumiwa kwenda jela kwa kifungo cha miaka mitatu na miezi sita kutokana na kosa la kukwepa kodi. Uli Hoeness, 62, alikiri kukwepa kodi inayofikia kiasi cha €18.5 million kupitia akaunti zake za benki za siri lakini utetezi wake wa kukiri kosa akidhania ungemsaidia kuepukana na adhabu ya kifungo ulishindwa kumsaidia. Mwendesha mashtaka alitaka Hoeness afungwe...

 

11 years ago

BBCSwahili

Scolari adaiwa kukwepa kulipa kodi

Kocha wa timu ya taifa ya Brazil Luiz Felipe Scolari,atachunguzwa na polisi licha ya kocha huyo kukanusha madai kuwa alikwepa kulipa kodi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Messi matatani kwa kukwepa kodi

Nyota wa timu ya Barcelona na Argentina Lionel Messi anakabiliwa na mashtaka ya ukwepaji wa kulipa kodi

 

9 years ago

Mwananchi

Baa ya Maryland yafungwa, kwa kukwepa kodi Sh139m

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeifunga baa maarufu ya Maryland ya jijini Dar es Salaam kwa madai ya kukwepa kulipa kodi inayokadiriwa kufikia Sh139 milioni.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akisikiliza risala ya umoja wa wafanyabiashara wa Manispaa ya Sumbawanga iliyokuwa ikisomwa kwake na Mwenyekiti wa umoja huo Ndugu Willington Kiziba Ndyetabura (Kulia). Katika risala hiyo yalikuwepo malalamiko mbalimbali ikiwemo ya matumizi ya mashine za EFD ambapo ni pamoja na gharama kubwa za mataengenezo, Ada ya ukaguzi wa majanga ya moto(Fire), Kupanda mara mbili kwa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wadogo na Ulinzi na Usalama kwa...

 

5 years ago

Michuzi

WALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV,  
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.

Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo,  Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafundwa kulipa kodi kwa hiari

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), mkoani Mtwara, imetoa elimu kwa wafanyabiashara mbalimbali kuhusu ulipaji wa kodi kwa mujibu wa sheria. Akizungumza katika viwanja vya Mkanaledi, mkoani hapa mwishoni mwa wiki,...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi watimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi

Polisi wa Kituo cha Nkome wilayani Geita, hawana mahala pa kuishi wala kufanyia shughuli zao za kiofisi, baada ya kutimuliwa na mmiliki wa nyumba waliyopanga kutokana na Serikali ya Kijji cha Nkome kushindwa kulipa kodi kwa miaka mitatu ya Sh3.3 milioni.

 

9 years ago

MillardAyo

Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…

Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa  kutoka kwa […]

The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani