ULIMWENGU, SAMATA KUWASILI JUMATANO KUWAKABILI MAMBAS
Thomas Ulimwengu. Washambuliaji Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanawasili nchini keshokutwa alfajiri (Julai 16 mwaka huu) kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji (Mambas). Mbwana Samata. Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika (AFCON) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Mambas itachezwa Jumapili (Julai 20 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qzCCWU2spRc/U8O0cohXJ7I/AAAAAAAF2EA/pjVQseLA4D8/s72-c/download.jpg)
ULIMWENGU, SAMATA KUWASILI JUMATANO
![](http://3.bp.blogspot.com/-qzCCWU2spRc/U8O0cohXJ7I/AAAAAAAF2EA/pjVQseLA4D8/s1600/download.jpg)
Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika (AFCON) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Mambas itachezwa Jumapili (Julai 20 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ulimwengu na Samata watawasili saa 12 asubuhi kwa ndege ya EgyptAir wakitokea Tunisia...
11 years ago
TheCitizen19 Jul
Samata says Stars will end Mambas jinx
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Samata, Ulimwengu kuwakosa Burundi
NYOTA wa kimataifa, Mbwana Samata, Thomas Ulimwengu na Mwinyi Kazimoto, wako shakani kucheza mechi ya kirafiki ya Tanzania na Burundi itakayopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Aprili 26,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*6YQqAONcG0NrbCWZLZdogIlMUsXZhp5lAbfSig*cvZhAs2jJF-jWvgRjg-bvyo8RvqEHqIVAXYGlGI5K3VqYFR3HO5wBnme/SAMATTA.jpg)
ULIMWENGU, SAMATA WAJIUNGA STARS
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Samata, Ulimwengu ni mfano wa kuigwaÂ
MOJA ya habari za michezo katika vyombo mbalimbali leo ni hatua ya wanasoka wa kimataifa wa Tanzania wanaocheza soka ya kulipwa nchini DR Congo, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kwenda...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-L8Ge94vClkI/U3UStG_muSI/AAAAAAAFh8M/pqIVqNX-Ep4/s72-c/TFF+Logo.jpg)
SAMATA, ULIMWENGU KUTUA JUMAMOSI
![](http://3.bp.blogspot.com/-L8Ge94vClkI/U3UStG_muSI/AAAAAAAFh8M/pqIVqNX-Ep4/s1600/TFF+Logo.jpg)
Washambuliaji hao watatokea moja kwa moja Sudan ambapo kesho (Mei 16 mwaka huu) TP Mazembe itacheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya timu ya huko.
Ujio wa washambuliaji hao utafanya wachezaji wote kutoka nje...
9 years ago
TheCitizen01 Sep
Ulimwengu, Samata jet in to join Stars
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-nbC33rr0y_I/U4dR2UQhE-I/AAAAAAAFmNE/9Tv-bEEcVqo/s72-c/Stars+Lions+Photo.jpg)
SAMATA, ULIMWENGU KUONGEZA NGUVU STARS
![](http://2.bp.blogspot.com/-nbC33rr0y_I/U4dR2UQhE-I/AAAAAAAFmNE/9Tv-bEEcVqo/s1600/Stars+Lions+Photo.jpg)
Taifa Stars itacheza na Zimbabwe (Mighty Warriors) katika mechi ya marudiano raundi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco. Mechi hiyo itachezwa Jumapili (Juni 1 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa jijini Harare.
Samata na Ulimwengu...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74902000/jpg/_74902510_uulimwengu.jpg)
Samata & Ulimwengu boost Tanzania