Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ulimwengu, Samata jet in to join Stars

Excitement is already building ahead of the 2017 Africa Cup of Nations (Afcon) match against Nigeria as Taifa Stars players plying their trade abroad troop in.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ULIMWENGU, SAMATA WAJIUNGA STARS

Mbwana Samatta. Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wametua Dar es Salaam leo (Mei 17 mwaka huu) mchana, na kujiunga moja kwa moja kwenye kambi ya Taifa Stars kwa ajili ya michuano ya Afrika dhidi ya Zimbabwe (Mighty Warriors). Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya kwanza ya michuano hiyo itafanyika kesho (Mei 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Thomas Ulimwengu. Washambuliaji hao wa Taifa Stars wamewasili…...

 

11 years ago

Michuzi

SAMATA, ULIMWENGU KUONGEZA NGUVU STARS

Klabu ya TP Mazembe imewaruhusu wachezaji wake Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kujiunga na timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo tayari imewasili Harare, Zimbabwe kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika.
Taifa Stars itacheza na Zimbabwe (Mighty Warriors) katika mechi ya marudiano raundi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika zitakazofanyika mwakani nchini Morocco. Mechi hiyo itachezwa Jumapili (Juni 1 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa jijini Harare.
Samata na Ulimwengu...

 

11 years ago

Mwananchi

Kazimoto kutua leo, Samata, Ulimwengu ndani ya Taifa Stars

Kiungo wa Al Markhiya, Mwinyi Kazimoto atawasili leo na kuungana na wenzake katika kikosi cha Taifa Stars kinachojiandaa na mechi dhidi ya Msumbiji Jumapili. 

 

11 years ago

Tanzania Daima

Samata, Ulimwengu kuwakosa Burundi

NYOTA wa kimataifa, Mbwana Samata, Thomas Ulimwengu na Mwinyi Kazimoto, wako shakani kucheza mechi ya kirafiki ya Tanzania na Burundi itakayopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Aprili 26,...

 

11 years ago

Michuzi

SAMATA, ULIMWENGU KUTUA JUMAMOSI

Wachezaji wa kimataifa wa Tanzania wanaochezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wanatarajiwa kuwasili Jumamosi mchana (Mei 17 mwaka huu) kujiunga na Taifa Stars kwa ajili ya mechi dhidi ya Zimbabwe (Mighty Warriors).
Washambuliaji hao watatokea moja kwa moja Sudan ambapo kesho (Mei 16 mwaka huu) TP Mazembe itacheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya timu ya huko.
Ujio wa washambuliaji hao utafanya wachezaji wote kutoka nje...

 

11 years ago

Michuzi

ULIMWENGU, SAMATA KUWASILI JUMATANO

Washambuliaji Thomas Ulimwengu na Mbwana Samata wa klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) wanawasili nchini keshokutwa alfajiri (Julai 16 mwaka huu) kwa ajili ya mechi dhidi ya Msumbiji (Mambas).
Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika (AFCON) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Mambas itachezwa Jumapili (Julai 20 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Ulimwengu na Samata watawasili saa 12 asubuhi kwa ndege ya EgyptAir wakitokea Tunisia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Samata, Ulimwengu ni mfano wa kuigwa 

MOJA ya habari za michezo katika vyombo mbalimbali leo ni hatua ya wanasoka wa kimataifa wa Tanzania wanaocheza soka ya kulipwa nchini DR Congo, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kwenda...

 

11 years ago

BBC

Samata & Ulimwengu boost Tanzania

Strikers Mbwana Samata and Thomas Ulimwengu are available for Tanzania's 2015 Nations Cup qualifier against Zimbabwe.

 

11 years ago

TheCitizen

Samata, Ulimwengu back in action for TP Mazembe

TP Mazembe are 90 minutes away from securing their 2014 CAF Champions League semfinal place tomorrow when they host Al Hilal of Sudan in a penultimate Group A fixture.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani