Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMA yazindua operesheni okoa mazingira

ASASI ya Uhai Mazingira (UMA) yenye makao yake makuu wilayani Sikonge, Tabora imeanzisha operesheni maalumu itakayosaidia kuokoa uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji. Mkurugenzi mtendaji wa asasi hiyo, Athega...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kweli Operesheni Okoa Elimu inahitajika nchini

WAKATI wanafunzi waliomaliza darasa la saba wakijiandaa kuanza muhula wa kwanza wa kidato cha kwanza, tatizo la kufika kwenye shule za kata bado ni changamoto kutokana na kuwa mbali na...

 

10 years ago

Vijimambo

Okoa Pesa, Okoa Muda, Nunua na Kuuza bidha Tumia Simplexpoint.com

Dear Diaspora,
Are you faced with the following problems; frustration with the misuse of funds back home to your family and friends, higher cost of sending funds frequently as a result depleting your savings?


We have a solution for your problems. Introducing Simplex Point a Vancouver Canada based e-commerce Company that provides consumer-to consumer, business-to-consumer and business-to-business sales services via a web portal; with operations in Tanzania, Kenya and Cameroon.


Through our web...

 

5 years ago

BBCSwahili

Rwanda yazindua magari rafiki kwa mazingira

Rwanda yazindua magari yanayotumia umeme ambayo ni rafiki kwa mazingira ya nchini humo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Marekani yazindua mradi wa dola milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini Tanzania

unnamed

Balozi  wa Marekani nchini Tanzania Mark Childress akizungumza katika uzinduzi wa mradi wa PROTECT  wa dola za kimarekani Milioni 14.5 wa kulinda mazingira, kukuza uhifadhi na utalii nchini hapa unaolenga kujenga uwezo wa uhifadhi na kukabiliana na ujangili na usafirishaji haramu wa wanyamapori nchini kote Tanzania,uzinduzi huu ulifanyika jana katika eneo la hifadhi ya wanyamapori linalosimamiwa na jumuiya ya uhifadhi ya wanyamapori {WMA} la Randilen linalopakana na hifadhi ya taifa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Zuma alifuja pesa za Uma ?

Bi Thuli Madonsela, anatarajiwa kutoa ripoti iwapo Rais Jacob Zuma alihusika katika ufisadi

 

10 years ago

BBCSwahili

Mali ya uma yamtia mashakani waziri mkuu

Waziri mkuu wa Ufaransa, Manuel Valls, amesema amejutia kitendo chake cha kutumia ndege ya serikali kuwabeba wanawe kutizama fainali ya mechi ya mabingwa wa ligi kuu barani Ulaya

 

11 years ago

Bongo5

Mpigie kura Cindy Rulz ashinde tuzo za UMA’s, ‘Best International Artist’

Rapper wa kike kutoka Tanzania, Cindy Rulz, ametajwa kuwania tuzo za Underground Music Awards, UMA’s za Marekani. Tuzo za UMA’s ni kubwa zaidi Marekani zinazolenga kuwatunza wasanii, waandishi wa nyimbo na watayarishaji wa muziki wanaojitegemea (wasio chini ya label) nchini Marekani. Cindy Rulz ni msanii pekee wa Afrika aliyetajwa mwaka huu kuwania tuzo hizo kwenye […]

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

WANAFUNZI WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMA MBEYA MAFUNZONI BUNGENI DODOMA HII LEO

WANAFUNZI 97 kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma, Tawi la Mbeya, leo wapo Bungeni mjini Dodoma kwa ziara ya kimafunzo. Wanafunzi hao wanaosomea fani mbalimbali zikiwepo utunzaji kumbukumbu na makatibu Muktasi watajifunza vitu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujioenea moja kwa moja namna shughuli za Bunge zinavyofanyika. Wanafunzi wakifuatilia mjadala kwa umakini.Mhadhiri na Kiongozi wa Chuo hicho, Johnson Mbuluma (kulia) akiwa na wanafunzi wake wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani