Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMOJA WA MAKANDARISI WAZALENDO (ACCT) KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA KUWANOA MAFUNDI MCHUNDO

Mwenyekiti wa taasisi ya ACCT,Milton Nyerere(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Masika wakibadishana hati za makubaliano ambayo itatoa fursa kwa mafundi wengi kunolewa na kuweza kufanya kazi za ujenzi kwa ubora wa hali ya juu.Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha,Dk Richard Masika akizungumza katika hafla ya kusaini makubaliano ya kushirikiana na Assocition of Citizen Contractors Tanzania(ACCT)leo chuoni hapo,kushoto ni Mwenyekiti wa taasisi hiyo,Milton Nyerere.Taasisi hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

siku ya familia ya Chuo cha Ufundi Arusha yafana

  Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha,Dk Richard Massika kulia)akiwa na wafanyakazi wenzake kwenye mazoezi ya viungo katika viwanja vya chuo hicho. J.Makamu Mkuu wa Chuo,Utawala na Fedha,Dk Erick Mgaya akishangilia baada ya timu yake(Idara ya Umeme)kutwaa ubingwa wa mpira wa miguu dhidi ya AutoMech.  Kukimbiza Kuku. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi na wananchi wafurahia Banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Nane nane Arusha

Wananchi wanaotembelea maonesho ya Kilimo na mifugo Nananane Njiro jijini Arusha wakiwa kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha kupata maelezo ya namna kinavyotimiza wajibu wake kuelimisha vijana katika taaluma ya ufundi nchini. Wanafunzi na wananchi wakipata maelezo kutoka kwa Mkufunzi wa Mitambo,Frank Moshi kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)juu ya matumizi ya nishati ya Nguvu jua . ATC pia hutoa mafunzo ya kuongeza thamani madini  hapa nchini badala ya kusafirishwa yakiwa ghafi...

 

10 years ago

Michuzi

WAHITIMU 10 WAKABIDHIWA MILIONI 10 ZA WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Jenista Mhagama akitoa hotuba yake wakati wa Sherehe ya mahafali ya Sita katika Fani mbalimbali leo. Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Jenista Mhagama akiwa na Bodi ya Chuo pamoja Uongozi wa Chuo cha Ufundi Arusha katika picha ya pamoja na wanafunzi 10 waliojinyakulia kitita cha Sh. milioni 1 kila mmoja kutoka kwa Waziri Mkuu,Mizengo Pinda kwa kufanya vizuri katika masomo yao Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Jenista Mhagama...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI NA WANANCHI WAFURAHIA BANDA LA CHUO CHA UFUNDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE ARUSHA

Wananchi wanaotembelea maonesho ya Kilimo na mifugo Nananane Njiro jijini Arusha wakiwa kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha kupata maelezo ya namna kinavyotimiza wajibu wake kuelimisha vijana katika taaluma ya ufundi nchini.Wanafunzi na wananchi wakipata maelezo kutoka kwa Mkufunzi wa Mitambo,Frank Moshi kwenye banda la Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)juu ya matumizi ya nishati ya Nguvu jua.ATC pia hutoa mafunzo ya kuongeza thamani madini  hapa nchini badala ya kusafirishwa yakiwa ghafi kwa...

 

11 years ago

GPL

ZANZIBAR KUANZISHA CHUO CHA MAFUNZO YA AMALI KWA WANAWAKE KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA BAREFOOT CHA INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya Amali kiitwacho Tilonia, Wilaya ya  Ajmer Jimbo la Rajastan akiwa  katika siku ya pili ya ziara yake nchni India pamoja na ujumbe aliofuatana nao.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Affani Othman Maalim (kulia) kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu chuo cha ufundi kwa walemavu wakosa ajira

WAHITIMU wa Chuo cha Ufundi cha watu wenye ulemavu Yombo wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kukosa ajira kutokana na mtazamo potofu wa jamii. Hayo yalibainishwa juzi jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHUO CHA UFUNDI STADI MASIGITUNDA

CHUO CHA UFUNDI STADI CHA MASIGITUNDA KILICHOPO PERAMIHOKATIKA KIJIJI CHA MSHIKAMANO KINATANGAZA NAFASI ZIFUATAZO ZA
1. MKUU WA CHUO NAFASI MOJA (1):
AWE NA SIFA ZIFUATAZO;
1. AMEMALIZA KIDATO CHA NNE2. AWE NA DEGREE YA UALIMU NA UONGOZI3. AWE NA UFAHAMU WA UTUMIAJI COMPUTER4. AWE NA UZOEFU WA UTAWALA5. AWE NA UZOEFU WA KAZI MIAKA MIWILI (2)
2. MWALIMU WA UASHI NAFASI MOJA (1):
AWE NA SIFA ZIFUATAZO;
1. AMEMALIZA KIDATO CHA NNE2. AWE NA CHETI CHA UFUNDI UASHI GRADE I AU CBET LEVEL III3. AWE NA...

 

9 years ago

StarTV

Majengo machakavu changamoto kwa walemavu Chuo Cha Ufundi Yombo

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia watu wenye ulemavu Dokta Abdallah Possi ameeleza kusikitishwa na hali aliyoikuta katika Chuo cha Ufundi Yombo kwa watu wenye ulemavu.

Katika ziara yake ya kwanza tangu ateuliwa kushika wadhifa huo, Dokta Possi amekuta uchakavu wa majengo ya chuo hicho sambamba na kumegwa kwa eneo la ukubwa wa ekari Tano.

Dk. Possi ambaye alifika chuoni hapo alianza kwa kukagua maeneo yanayozunguka chuo hicho na kujionea hali halisi ya chuo hicho kilichodaiwa...

 

5 years ago

Michuzi

DIWANI AOMBA CHUO KIPYA CHA UFUNDI KWA WALEMAVU MKOANI SINGIDA



Diwani wa Kata ya Utemini, Baltazar Kimario.


Na Ismail Luhamb,Singida.

DIWANI wa Kata ya Utemini Manispaa ya Singida, Baltazar Kimario, ameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kujenga chuo kipya cha ufundi stadi cha kwa ajili ya watu wenyeulemavu mkoani hapa.

Akizungumza na waandishi wa habari katika kikao cha baraza la madiwani kilicho keti mwishoni mwa wiki, Kimario, alisema chuo kinachoendelea kutumika kilijengwa miaka ya 70 hivyo miundombinu yake imechakaa inahitaji ukarabati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani