UMRI UMEWATUPA NA HAWANA WATOTO
![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1aZZOAiSWrfFf6F8377gHu4*qRrgYSSaMEuRu4IWUo-ZHkMOlzfwMIuK6v*JrNXjjAKJ45ZvJMgk3sc2Mdgn7fs/1.jpg?width=650)
NIjambo la kuhuzunisha kwa mwanamke aliyekamilika kutokuwa na mtoto katika kipindi cha maisha yake, hii inatokana na ukweli kwamba watoto ni chanzo kikubwa cha furaha kwa wazazi hasa wa kike bila kujali hadhi waliyonayo katika jamii. Cameron Diaz. Familia nyingi hasa wanawake wamejikuta katika wakati mgumu kutokana na masimango kutoka kwa jamii na watu wanaowazunguka huku matatizo hayo yakiwajumuisha pia mastaa kama Wema Sepetu,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-g6wmqPtZDsw/VVR5UEAGppI/AAAAAAABOaQ/sXIxvK8iVzY/s72-c/Elizabeth-Michael-lulu1.jpg)
"LULU: NI KWELI NAPENDA KUTEMBEA NA WANAUME WALIONIZIDI UMRI SABABU HAWANA MAMBO YA KITOTO"
![](http://4.bp.blogspot.com/-g6wmqPtZDsw/VVR5UEAGppI/AAAAAAABOaQ/sXIxvK8iVzY/s640/Elizabeth-Michael-lulu1.jpg)
Akizungumza kwenye The Sporah Show, Lulu amezitaja sababu za kupendelea kutoka na wanaume waliomzidi umri.
SPORAH: Watu wanahisi kwamba Lulu anapenda sana kutembea na watu waliomzidi umri sana,
LULU: That’s true, sio uongo, sio sana, Napenda kudate mtu ambaye anayeweza kusimama kama mpenzi, kama kaka, kama baba, kama kiongozi. Sitakuwa tayari kuwa na ile...
11 years ago
Habarileo03 Aug
Watoto wengi hawana lishe bora
WATAALAMU wa sekta ya afya mkoani Morogoro, wameeleza kuwa watoto wengi wanakabiliwa na uzito pungufu na udumavu, kutokana kukosa lishe bora.
9 years ago
Habarileo05 Jan
‘Watoto waende shule hata kama hawana sare’
MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Magalulla Said Magalulla amewataka wazazi na walezi mkoani humo kuhakikisha watoto wao wenye sifa za kuanza masomo wanakwenda shule mara tu zitakapofunguliwa hata kama hawana sare.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6k6iP7EtmtIVlOoCs62jrX*rRk2iWXNSSLFf-8uhGS0P-zgIV*XFWSgKNbT8T40YltDlQjh41IQsPZVHR7SsDMM/WorldBank.jpg?width=650)
MASHINDANO YA SANAA, KUCHORA KWA WATOTO NA VIJANA KATI YA UMRI WA MIAKA 7 HADI 15
9 years ago
StarTV29 Nov
Watoto 9,000 wenye umri zaidi ya miaka 11 warejeshwa shule kupitia Mradi Wa Tasaf
Wanawake wa Wilaya ya Chato wameamua kubadilika baada ya kuwezeshwa na Mradi wa TASAF kwa kuwarudisha watoto 9,000 wenye zaidi ya miaka 11 katika shule sitini ambao walikuwa hawasomi na wengine kuacha shule kutokana na umbali na kukosa uwezo wa kuwanunulia vifaa mbalimbali vya shule.
Pamoja na kuwaanzisha shule sitiri bado baadhi ya wanawake wamekuwa wakinyang’anywa fedha wanazopatiwa na waume zao na kuwafanya baadhi yao kushindwa kutimiza lengo la kuhakikisha watoto wanasoma na kupelekwa...
10 years ago
MichuziWATOTO WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO KUSAJILIWA NA KUPEWA VYETI BURE MKOANI MWANZA
Mkuu wa wilaya hiyo akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe Magesa Stanslaus Mulongo kama Mgeni rasmi katika Uzinduzi huo ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Abigail Chamungwana: Mwanamuziki mwenye umri mdogo aliye na ndoto ya kuwa Daktari bingwa wa upasuaji moyo wa watoto
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
Wananchi watakiwa kujitokeza kwenye kambi ya kupima Afya bila malipo kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5
Mkurugenzi Mtendaji wa Kliniki ya kimataifa ya afya ya uzazi kwa baba, mama, mtoto na vijana (AMM), Dk Ali Mzige (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Kambi ya kupima afya bila malipo kwa watoto wadogo, itakayofanyika Jumapili ya Machi 8 mwaka huu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO, Amit Nandy na kulia ni mwakilishi wa shule ya Kibugumu, Mwalimu Mzamili Ally.
Na Andrew Chale modewji...