Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN KUZINDUA MFUMO MPYA WA KUHABARISHA UMMA NDANI YA TAMASHA LA ZIFF 2014 JIONI HII‏

Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso (kushoto) akionesha taarifa ya Umoja wa Mataifa ya utekelezaji wa mpango wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa mataifa hapa nchini. Taarifa hiyo imo katika documentary (taarifa ambayo iko katika mfumo wa video) ya dakika saba inayoonyesha kazi mbalimbali Umoja wa Mataifa nchi itazinduliwa leo kwenye ukumbi wa Ngome Kongwe kuanzia saa moja jioni katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

UN kuzindua mfumo mpya wa kuhabarisha umma ndani ya tamasha la ZIFF 2014 jioni hii

un1

Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso (kushoto) akionesha taarifa ya Umoja wa Mataifa ya utekelezaji wa mpango wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa mataifa hapa nchini. Taarifa hiyo imo katika documentary (taarifa ambayo iko katika mfumo wa video) ya dakika saba  inayoonyesha kazi mbalimbali Umoja wa Mataifa nchi  itazinduliwa leo kwenye ukumbi wa Ngome Kongwe kuanzia saa moja jioni katika mpango wa Umoja wa Mataifa wa kutumia mitandao ya kijamii...

 

11 years ago

Michuzi

SHAMRA SHAMRA ZA UFUNGUZI WA ZIFF 2014 NDANI NGOME KONGWE UNGUJA JIONI HII

. DSC_0034 Afisa Mawasiliano wa ZIFF, Hassan Musa “Has T” akiwatambulisha wasanii watakaotoa burudani leo kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la filamu la nchi za Majahazi ZIFF kwenye mkutano mfupi na waandishi wa habari (hawapo pichani). DSC_0042 DJ maarufu Kahlil Jacobs-Fantauzzi kutoka Puerto Rico(kushoto) akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) namna atakavyosugua sahani za muziki usiku wa leo. Wengine ni wanamuziki wa kundi la BODY, MIND & SOUL kutoka Malawi. DSC_0075 Music Coordinator wa ZIFF, Edward...

 

11 years ago

GPL

SAUTI SOL WATIKISA TAMASHA LA ZIFF 2014‏

Polycarp Otieno (Quitar & Vocalist) akifanya yake ndani ya ZIFF 2014.Sauti Sol watikisa tamasha la ZIFF 2014 Mpiga kinanda wa bendi ya Sauti Sol akifanya yake jukwaani.…

 

11 years ago

GPL

MASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR‏

Baadhi ya washiriki wa mashindano ya resi za Ngalawa wakijiandaa tayari kwa kuanza mashindano hayo katika shamra shamra za tamasha la 17 la ZIFF 2014 linaloendelea visiwani Zanzibar.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog). Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF ambaye pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (mwenye t-shirt ya njano) akupiliza Kipenga kuashiria kuanza kwa mashindano hayo yaliyofanyika kwenye fukwe za...

 

11 years ago

GPL

BALOZI SEFU IDDI ABARIKI TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR‏

Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF Mh. Mahmoud Thabit Kombo. Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na Mgeni maalum mwalikwa mwigizaji wa filamu ya MANDELA "Long Walk to Freedom" Terry Pheto ambayo ilifungua tamasha hilo la 17 la ZIFF usiku wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Filamu ya “I Shot Bi Kidude” kuonyeshwa tamasha la Ziff 2015 Jumapili hii ndani ya Ngome Kongwe, Zanzibar

bi-kidude

I_HEART_BK_2_1

‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’

Andy Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web

‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya Kijana Mtengenezaji wa filamu na diva wa Zanzibar mzee wa miaka 100 Zanzibar diva’ Garth Cartwright – mwandishi, “More Miles Than Money”Umbali mkubwa kuliko fedha”

‘Uwasilishaji wa wa nyota …iliyofifia na kuifanya ing’are upya’.

Martin Mhando, Mkurugenzi ZIFF

Nilimpiga Picha Bi Kidude “I Shot Bi Kidude”, ni makala mpya...

 

11 years ago

GPL

MZUNGU KICHAA NA RICO SINGLE KUWACHIZISHA WAZANZIBAR TAMASHA LA ZIFF 2014 USIKU WA LEO‏

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata. Mzungu Kichaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye...

 

11 years ago

GPL

FILAMU YA ESPINHO DA ROSA “THE THORN OF THE ROSE” YATWAA TUZO TATU TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014‏

Malkia wa Filamu ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau ADY de Batista akiwasili huku akiongozana na Meneja wake Sholey Maqueta kwenye usiku maalum wa tuzo wakati wa tamasha la 17 la ZIFF 2014 lililomalizika mwishoni mwa juma visiwani Zanzibar kwenye viunga vya Ngome Kongwe Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli ya Doubletree by Hilton Zanzibar, Bw. Samuel(kulia) Bond na Mkewe Jenny Bond...

 

11 years ago

Dewji Blog

Innocent Nganyagwa kutumbuiza tamasha la ZIFF 2014 usiku huu ndani ya ukumbi wa Mambo Club, Ngome Kongwe

DSC_0276

Mwanamuziki Mkongwe wa Rege nchini, Innocent Nganyagwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na show yake kwenye tamasha la ZIFF 2014 usiku wa leo ndani ya ukumbi wa Mambo Club kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.Kushoto Mtaalamu wa masuala ya habari  ZIFF, Bw. Dave Ojay.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0094

Baadhi ya wageni mbalimbali na waandishi wa habari wanaohuduria tamasha la ZIFF 2014 linaloendelea kutimua vumbi visiwani Zanzibar.

Na. Mwandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani