UN kuzindua mfumo mpya wa kuhabarisha umma ndani ya tamasha la ZIFF 2014 jioni hii
Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso (kushoto) akionesha taarifa ya Umoja wa Mataifa ya utekelezaji wa mpango wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa mataifa hapa nchini. Taarifa hiyo imo katika documentary (taarifa ambayo iko katika mfumo wa video) ya dakika saba inayoonyesha kazi mbalimbali Umoja wa Mataifa nchi itazinduliwa leo kwenye ukumbi wa Ngome Kongwe kuanzia saa moja jioni katika mpango wa Umoja wa Mataifa wa kutumia mitandao ya kijamii...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/un1.jpg)
UN KUZINDUA MFUMO MPYA WA KUHABARISHA UMMA NDANI YA TAMASHA LA ZIFF 2014 JIONI HII
11 years ago
Michuzi14 Jun
SHAMRA SHAMRA ZA UFUNGUZI WA ZIFF 2014 NDANI NGOME KONGWE UNGUJA JIONI HII
![DSC_0034](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0034.jpg)
![DSC_0042](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_00421.jpg)
![DSC_0075](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0075.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
Filamu ya “I Shot Bi Kidude” kuonyeshwa tamasha la Ziff 2015 Jumapili hii ndani ya Ngome Kongwe, Zanzibar
‘Makala ya Kusisimua yenye matukio yenye hisia nzito.’
Andy Markowitz, Tovuti ya Muziki wa Filamu Music Film Web
‘Tafakari ya kusisimua ya urafiki usio wa kawaida kati ya Kijana Mtengenezaji wa filamu na diva wa Zanzibar mzee wa miaka 100 Zanzibar diva’ Garth Cartwright – mwandishi, “More Miles Than Money”Umbali mkubwa kuliko fedha”
‘Uwasilishaji wa wa nyota …iliyofifia na kuifanya ing’are upya’.
Martin Mhando, Mkurugenzi ZIFF
Nilimpiga Picha Bi Kidude “I Shot Bi Kidude”, ni makala mpya...
11 years ago
Dewji Blog18 Jun
Innocent Nganyagwa kutumbuiza tamasha la ZIFF 2014 usiku huu ndani ya ukumbi wa Mambo Club, Ngome Kongwe
Mwanamuziki Mkongwe wa Rege nchini, Innocent Nganyagwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na show yake kwenye tamasha la ZIFF 2014 usiku wa leo ndani ya ukumbi wa Mambo Club kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar.Kushoto Mtaalamu wa masuala ya habari ZIFF, Bw. Dave Ojay.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Baadhi ya wageni mbalimbali na waandishi wa habari wanaohuduria tamasha la ZIFF 2014 linaloendelea kutimua vumbi visiwani Zanzibar.
Na. Mwandishi...
11 years ago
Dewji Blog16 Jun
Sauti Sol watikisa tamasha la ZIFF 2014
Na MOblog, Zanzibar
MOJA ya vitu ambavyo wazanzibari watakumbuka ni jinsi kundi la Kenya ambalo hivi karibuni liliibuka kundi bora katika MTV Base lilivyovamia jukwaa na kuendesha shoo ya saa moja na nusu iliyokuwa na uhakika.
Kundi hilo lenye watu watano wakiongozwa na mtia sauti Bien Baraza liliwaacha hoi wazanzibari waliofurika katika ukumbi wa Mambo uliopo ndani ya Ngome Kongwe na muziki wenye mahadhi ya Afro Pop.
Muziki huo ambao uliwateka vijana kutokana na midundo yake na maneno ya...
10 years ago
Dewji Blog19 Jul
Siku ya Afrika Kusini kunogeshwa ndani ya tamasha la ZIFF usiku wa leo
Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka akiwa jukwaani wakati wa ufunguzi wa tamasha la 18, la ZIFF 2015, katika jukwaa la Ngome Kongwe… Bi Masuka anatarajia kutumbuiza usiku wa leo ambao ni maalum kwa Taifa la Afrika Kusini (South Africa day).
Na Andrew Chale, modewjiblog
(Zanzibar) Today is South Africa Day at #ZIFF2015 catch a range of South African movies including Uthando and Sarafina! (film) at the Old Fort with Guest of Honour Leleti Khumalo...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0193.jpg)
SAUTI SOL WATIKISA TAMASHA LA ZIFF 2014
11 years ago
Michuzi19 Jun
MASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
![DSC_0217](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_02172.jpg)
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_02172.jpg)
MASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR