Sauti Sol watikisa tamasha la ZIFF 2014
Na MOblog, Zanzibar
MOJA ya vitu ambavyo wazanzibari watakumbuka ni jinsi kundi la Kenya ambalo hivi karibuni liliibuka kundi bora katika MTV Base lilivyovamia jukwaa na kuendesha shoo ya saa moja na nusu iliyokuwa na uhakika.
Kundi hilo lenye watu watano wakiongozwa na mtia sauti Bien Baraza liliwaacha hoi wazanzibari waliofurika katika ukumbi wa Mambo uliopo ndani ya Ngome Kongwe na muziki wenye mahadhi ya Afro Pop.
Muziki huo ambao uliwateka vijana kutokana na midundo yake na maneno ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0193.jpg)
SAUTI SOL WATIKISA TAMASHA LA ZIFF 2014
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Sauti Sol kuwasha moto tamasha la ZIFF usiku wa leo
Kundi la wasanii maarufu kutoka nchini Kenya Sauti Sol katika mkutano na wandishi wa habari (hawapo pichani) ndani ya Hoteli ya Doubletree by Hilton mjini Zanzibar. Kutoka kushoto ni Bien Baraza (vocalist), Chimano Austin (vocalist), Delvine Mudigi(vocalist) na Polycarp Otieno (Quitar & Vocalist).
Bien Baraza wa kundi la Sauti Sol akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana umuhimu wa wasanii kutumia mitandao ya kijamii na muziki wao katika kukemea mambo maovu yanayoendelea...
11 years ago
Michuzi19 Jun
MASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
![DSC_0217](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_02172.jpg)
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Balozi Sefu Iddi abariki tamasha la 17 la ZIFF 2014 visiwani Zanzibar
Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF Mh. Mahmoud Thabit Kombo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na Mgeni maalum mwalikwa mwigizaji wa filamu ya MANDELA “Long Walk to Freedom” Terry Pheto ambayo ilifungua tamasha hilo la 17 la ZIFF usiku wa kuamkia leo visiwani...
11 years ago
Dewji Blog19 Jun
Mashindano ya resi za Ngalawa yanogesha tamasha la 17 la ZIFF 2014 visiwani Zanzibar
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya resi za Ngalawa wakijiandaa tayari kwa kuanza mashindano hayo katika shamra shamra za tamasha la 17 la ZIFF 2014 linaloendelea visiwani Zanzibar.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
NGALAWA zote 11 zilizoingia majini kukamilisha mzunguko wa saa mbili wa resi za ngalawa mjini Zanzibar zilimarisha mashamshamu hayo bila najali na timu tatu zilipewa zawadi za ushindi.
Resi za Ngalawa kama zinavyojulikana ni utamaduni halisi wa...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_02172.jpg)
MASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/06/DSC_0157.jpg)
BALOZI SEFU IDDI ABARIKI TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
11 years ago
Dewji Blog21 Jun
Ady Batista wa “The Thorn Of The Rose” akonga nyoyo za wapenzi wa sinema tamasha la ZIFF 2014
ADY de Batista (30).
ADY de Batista akisaidiwa kushuka kwenye gari na meneja wake Sholey Maqueta mara baada ya kuwasili kwenye viunga vya Ngome Kongwe visiwani Zanzibar. (Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
ADY de Batista alishuka taratibu katika gari la Noah, akiwa amevalia nguo nyeupe.Alisaidiwa kushuka kwenye gari na meneja wake Sholey Maqueta na kuingia katika ukumbi wa maonesho ya sinema wa wazi uliopo Ngome Kongwe kwa ajili ya sinema yake ya O...
11 years ago
Dewji Blog16 Jun
UN kuzindua mfumo mpya wa kuhabarisha umma ndani ya tamasha la ZIFF 2014 jioni hii
Ofisa habari wa Kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vusso (kushoto) akionesha taarifa ya Umoja wa Mataifa ya utekelezaji wa mpango wa pamoja wa mashirika ya Umoja wa mataifa hapa nchini. Taarifa hiyo imo katika documentary (taarifa ambayo iko katika mfumo wa video) ya dakika saba inayoonyesha kazi mbalimbali Umoja wa Mataifa nchi itazinduliwa leo kwenye ukumbi wa Ngome Kongwe kuanzia saa moja jioni katika mpango wa Umoja wa Mataifa wa kutumia mitandao ya kijamii...