Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sauti Sol kuwasha moto tamasha la ZIFF usiku wa leo

DSC_0019

Kundi la wasanii maarufu kutoka nchini Kenya Sauti Sol katika mkutano na wandishi wa habari (hawapo pichani) ndani ya Hoteli ya Doubletree by Hilton mjini Zanzibar. Kutoka kushoto ni  Bien Baraza (vocalist), Chimano Austin (vocalist), Delvine Mudigi(vocalist) na Polycarp Otieno (Quitar & Vocalist).

DSC_0066

Bien Baraza wa kundi la Sauti Sol akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana umuhimu wa wasanii kutumia mitandao ya kijamii na muziki wao katika kukemea mambo maovu yanayoendelea...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Sauti Sol watikisa tamasha la ZIFF 2014

Na MOblog, Zanzibar

MOJA ya vitu ambavyo wazanzibari watakumbuka ni jinsi kundi la Kenya ambalo hivi karibuni liliibuka kundi bora katika MTV Base lilivyovamia jukwaa na kuendesha shoo ya saa moja na nusu iliyokuwa na uhakika.

Kundi hilo lenye watu watano wakiongozwa na mtia sauti Bien Baraza liliwaacha hoi wazanzibari waliofurika katika ukumbi wa Mambo uliopo ndani ya Ngome Kongwe na muziki wenye mahadhi ya Afro Pop.

Muziki huo ambao uliwateka vijana kutokana na midundo yake na maneno ya...

 

11 years ago

GPL

SAUTI SOL WATIKISA TAMASHA LA ZIFF 2014‏

Polycarp Otieno (Quitar & Vocalist) akifanya yake ndani ya ZIFF 2014.Sauti Sol watikisa tamasha la ZIFF 2014 Mpiga kinanda wa bendi ya Sauti Sol akifanya yake jukwaani.…

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Serengeti Fiesta kuwasha moto Moshi leo

UHONDO wa burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mahiri waliopo katika msafara wa Serengeti Fiesta 2014, leo ni zamu ya wapenzi na mashabiki wa mji wa Moshi na vitongoni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Siku ya Afrika Kusini kunogeshwa ndani ya tamasha la ZIFF usiku wa leo

19808848325_b2f0e67169_z Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi  kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka  akiwa jukwaani wakati wa ufunguzi wa tamasha la 18, la ZIFF 2015, katika jukwaa la Ngome Kongwe… Bi Masuka anatarajia kutumbuiza usiku wa leo ambao ni maalum kwa Taifa la Afrika Kusini (South Africa day).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Zanzibar) Today is South Africa Day at ‪#‎ZIFF2015 catch a range of South African movies including Uthando and Sarafina! (film) at the Old Fort with Guest of Honour Leleti Khumalo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mzungu Kichaa na Rico Single kuwachizisha wazanzibar tamasha la ZIFF 2014 usiku wa leo

DSC_0087

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club – Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog).

DSC_0099

Mzungu Kichaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Doubletree by...

 

11 years ago

GPL

MZUNGU KICHAA NA RICO SINGLE KUWACHIZISHA WAZANZIBAR TAMASHA LA ZIFF 2014 USIKU WA LEO‏

Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club - Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata. Mzungu Kichaa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

FM ACADEMIA 'WAZEE WA NGWASUMA' YAMOTO BAND NA BARBANAS KUWASHA MOTO USIKU WA ONYESHO LA 'USIKU MWEUPE' JIJINI DAR


Na Mwandishi Wetu. FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Yamoto Band na Barbanas, kesho watakuwa na onesho maalum liitwalo 'Usiku Mweupe' litakalofanyika kwenye ukumbi wa Escape One, uliopo mikocheni Dar es Salaam.Mratibu wa onesho hilo Wiliam Malecela, alisema kuwa kila kitu kipo vizuri ambapo onesho hilo litaanza saa 3, usiku.Alisema kuwa dhumuni la kufanya onesho la pamoja kwa bendi hizo na msanii huyo anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya ni kutaka kuuinua muziki wa dansi ambao...

 

10 years ago

Michuzi

Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili  la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la  jiji kutokana na kuwa na burudani za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani