Balozi Sefu Iddi abariki tamasha la 17 la ZIFF 2014 visiwani Zanzibar
Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF Mh. Mahmoud Thabit Kombo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na Mgeni maalum mwalikwa mwigizaji wa filamu ya MANDELA “Long Walk to Freedom” Terry Pheto ambayo ilifungua tamasha hilo la 17 la ZIFF usiku wa kuamkia leo visiwani...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLBALOZI SEFU IDDI ABARIKI TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
11 years ago
Michuzi19 Jun
MASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
11 years ago
GPLMASHINDANO YA NGALAWA YANOGESHA TAMASHA LA 17 LA ZIFF 2014 VISIWANI ZANZIBAR
11 years ago
Dewji Blog19 Jun
Mashindano ya resi za Ngalawa yanogesha tamasha la 17 la ZIFF 2014 visiwani Zanzibar
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya resi za Ngalawa wakijiandaa tayari kwa kuanza mashindano hayo katika shamra shamra za tamasha la 17 la ZIFF 2014 linaloendelea visiwani Zanzibar.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).
Na Mwandishi wetu, Zanzibar
NGALAWA zote 11 zilizoingia majini kukamilisha mzunguko wa saa mbili wa resi za ngalawa mjini Zanzibar zilimarisha mashamshamu hayo bila najali na timu tatu zilipewa zawadi za ushindi.
Resi za Ngalawa kama zinavyojulikana ni utamaduni halisi wa...
11 years ago
Dewji Blog20 Jun
Hiki ndicho alichokifanya Ras Inno kwenye tamasha la ZIFF 2014 linaloendelea visiwani Zanzibar
Na. Mwandishi wetu, Zanzibar
MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu ya kufunza kizazi kijacho kuhusu muziki huo.
Filamu hiyo ambayo itabeba maisha yake ya kuishi katika muziki wa rege inatolewa kama ile ya Jimmy Clief The hader they Come.
Nganyagwa mwenye albamu nne na tuzo tano za hapa nyumbani alisema pamoja na kukaa kimya kwa muda mrefu alikuwa hajaondoka katika muziki wa rege lakini alikuwa anafundisha vijana ili rege...
10 years ago
Dewji Blog01 Dec
Balozi Sefu Iddi ataka jamii itumie fursa elimu ya juu
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na Mwenyeji wake Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dr. Asha-Rose Migiro wakiliongoza Gwaride kulingia kwenye uwanja wa Mahafali ya 26 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yaliyofanyika Makamu Makuu yake Bungo Kibaha, Mkoa wa Pwani.
Na Othman Khamis Ame
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewahimiza Watanzania kuitumia fursa inayotolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT) katika kujipatia Taaluma huku wakiendelea na...
11 years ago
MichuziBalozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar
11 years ago
Dewji Blog16 Jun
Sauti Sol watikisa tamasha la ZIFF 2014
Na MOblog, Zanzibar
MOJA ya vitu ambavyo wazanzibari watakumbuka ni jinsi kundi la Kenya ambalo hivi karibuni liliibuka kundi bora katika MTV Base lilivyovamia jukwaa na kuendesha shoo ya saa moja na nusu iliyokuwa na uhakika.
Kundi hilo lenye watu watano wakiongozwa na mtia sauti Bien Baraza liliwaacha hoi wazanzibari waliofurika katika ukumbi wa Mambo uliopo ndani ya Ngome Kongwe na muziki wenye mahadhi ya Afro Pop.
Muziki huo ambao uliwateka vijana kutokana na midundo yake na maneno ya...
11 years ago
GPLSAUTI SOL WATIKISA TAMASHA LA ZIFF 2014