UNDANI WA JAY DEE NA GARDNER KUACHANA
![](http://api.ning.com:80/files/TL-la4qMC-2q15UX4ZZtz7wlVX7OGKiSouYI4WVugf7K2xsJae9x-qIR-URwf-LzoqvIgnULM4oYa*jUgSYvQbHcHsB6OpWt/gardner.jpg)
BAADA ya wiki iliyopita aliyekuwa mke wa mtangazaji wa kituo cha radio cha EFM, Gardner G Habash, mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jay D’ kumwaga sababu za kuachana na mumewe huyo, mkali huyo wa kutangaza ameibuka na kusema amechukizwa na maneno yaliyotolewa na aliyekuwa mwandani wake huyo huku akidai anamuachia Mungu. Gardner G Habash na Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jay D’ siku ya harusi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies23 Feb
Gardner Akanusha Uvumi wa Kuachana Mkewe Jack
Gardner Dibibi ambae ni mume wa mwigizaji wa filamu Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ amekanusha taarifa zilizoenea mtandao na kwenye magazeti ya udaku kuwa ameachana mke wake Jack.
Gardner ameimbia Bongomovies.com kuwa taarifa za yeye kuacha na mkwe wake sio za kweli japo kuwa ni kweli walikuwa natofauti za kawaida na wameshazimaliza na pia amekanusha kuwa hakumpa talaka kama ilivyoripotiwa .
”“Taarifa hizo sio za kweli, sisi tuko pamoja, tulikua na matatizo ya kawaida tu lakini...
10 years ago
Mtanzania05 May
Jay Dee: Mimi si Mkikuyu
NA JENNIFER ULLEMBO
MWANAMUZIKI Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’, ameweka wazi kwamba yeye ni Mtanzania na si Mkikuyu kutoka Kenya kama baadhi ya mashabiki wa muziki kutoka nchini humo wanavyomdhania.
Jay Dee ameeleza hayo baada ya kudai kwamba kila anapokuwa katika maonyesho yake ya muziki nchini humo, mashabiki wake humtaka ahamie nchini humo moja kwa moja.
“Unajua Wakenya wamekuwa wakisema mimi ni Mkikuyu, wanadai natakiwa nikaishi nchini kwao wanajua mi ni Mkikuyu ila nawaeleza ukweli ni...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-L9G-8Bq3Orc/VlmiqGxG2-I/AAAAAAAIIw8/o1V2fu4lkCQ/s72-c/c03da4e6-2a7d-47cc-b8bf-f03dd269941d.jpg)
10 years ago
Jamtz.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-mVcYF5dJvjk/VHNAFQ5IpMI/AAAAAAAABRo/n_owX8C1Pj4/s72-c/Post.png)
11 years ago
GPL11 years ago
TheCitizen12 Feb
Jay Dee, husband refute divorce reports
11 years ago
TheCitizen07 Feb
Lady Jay Dee seeks divorce from husband
9 years ago
Dewji Blog29 Nov
10 years ago
Mwananchi06 Jul
Sugu, Lady Jay Dee waliniumiza kichwa-Ruge