Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNDP yazitaka redio jamii kuongeza hamasa watu kujiandikisha daftari la wapiga kura

Na Mwandishi wetu

SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini limetoa wito kwa redio za jamii kujikita zaidi katika kutoa hamasa ya ushiriki wa wananchi katika mchakato wa uchaguzi ukiwamo kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Akizungumza matumaini ya Umoja huo katika tathmini ya mradi wa Uwezeshaji wa Demokrasia (DEP) kwa Redio za Kijamii nchini Tanzania zinazounda umoja wa COMNETA, chini ya ufadhili wa UNESCO, mtaalamu wa masuala ya mawasiliano wa UNDP Nicodemus...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UNDP YAZITAKA REDIO JAMII KUONGEZA HAMASA WATU KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA‏

Mhariri wa Redio Kwizera FM ya Ngara mkoani Kagera, Seif Omary Upupu akichangia mada wakati wa warsha ya siku tatu ya kutathmini mradi wa uwezeshaji wa demokrasia na amani (DEP) kwa wanamtandao wa Redio Jamii nchini (COMNETA). Mhariri wa Sibuka FM, Anita Balingilaki akishiriki kuchangia mada kwenye warshi hiyo. Mshauri na Mkufunzi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Bi. Rose Haji Mwalimu...

 

5 years ago

Michuzi

WATU 25,319 WAJITOKEZA BAGAMOYO KUJIANDIKISHA KATIKA ZOEZI LA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO
WATU zaidi ya 25,319 wamejitokeza kujiandikisha na wengine kuweka kumbukumbu zao sahihi ,katika zoezi la kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura,wilayani Bagamoyo ,mkoani Pwani.
Aidha ,katika zoezi hilo kulijitokeza changamoto ndogo ndogo upande wa mashine za BVR ,lakini ushirikiano ulikuwepo katika kutatua changamoto zinapojitokeza kupitia wataalamu mbalimbali wa TEHAMA na kutoka Tume ya Taifa ya uchaguzi .
Akitoa taarifa hiyo, wakati wa baraza la madiwani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wananchi wahimizwa kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

1

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Daftari la Wapiga Kura linalotumika kuandikisha wananchi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kushoto ni Mratibu wa Uchaguzi huo Bw. Denis Bandisa.

2

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akiongea na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu ambapo amesema...

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUJITOKEA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.Hayo yamedhihirika leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei 1, 2015 zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wizara mbali mbali ikiwemo taasisi binafsi zilibeba mabango yenye ujumbe kuhamasisha wafanyakazi.Mpaka sasa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la...

 

10 years ago

Dewji Blog

Chatanda awataka Vijana Singida kujitokeza kujiandikisha daftari la wapiga kura

DSC04237

Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akitoa nasaha zake kwenye hafla iliyofana  ya CCM kata ya Mughanga kusherehekea ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika desemba mwaka jana. CCM kata ya Mitunduruini imezoa nafasi zote zilizokuwa zikigombewa.Wa kwanza kulia ni diwani viti maalum,Anita Awadh na kushoto (wa pili kushoto ni katibu CCM mkoa wa Singida,Mary Chatanda na wa kwanza kushoto ni mwenyekiti CCM kata ya Mughanga.

Na Nathaniel Limu, Singida

VIONGOZI wa...

 

10 years ago

GPL

WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUJITOKEA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA‏



Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.Hayo yamedhihirika leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani Mei 1, 2015 zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo wizara mbali mbali ikiwemo taasisi binafsi zilibeba mabango yenye ujumbe...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AHIMIZA WAZANZIBAR KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad amewataka Wazinzibari kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kuanza Mei 16 mwaka huu ili waweze kutumia haki zao  kikatiba za kushiriki uchaguzi mkuu kwa kupiga kura.


Maalim Seif Sharif Hamad ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha  Wananchi (CUF),amesema kuwa uchaguzi mkuu uliopita ulikuwa wa uhuru na wa amani lakini ulikuwa na kasoro katika daftari la...

 

10 years ago

Michuzi

NASSARI AENDELEA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na mmoja wa watoto waliofika kumpokea wakati akifanya mkutano wa hadhara katika kata ya Maruanga kuhamasisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura.Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wananchi katika kata ya Maruanga .

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani