UNESCO yataka ubia na MWEDO
Mkurugenzi Mtendaji wa asasi ya Maendeleo ya wanawake wa Kimasai (MWEDO), Ndinini Kimesera (kushoto) akimkaribisha Mkurugenzi Mkazi wa Unesco nchini, Zulmira Rodrigues kwenye ofisi za asasi hiyo kwa ajili ya mazungumzo jijini Arusha.
Na Mwandishi Wetu, Arusha
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, limesema kwamba litaingia ubia na asasi ya Maendeleo ya wanawake wa Kimasai (MWEDO) ili kuimarisha mradi wa kijiji cha digitali cha...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLUNESCO YATAKA UBIA NA MWEDO
11 years ago
Dewji Blog11 Aug
UNESCO kupitia READ INTERNATIONAL watoa msaada wa vitabu vya Sayansi kwa shule ya sekondari MWEDO Arumeru
Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph akipolewa na Mwalimu wa Taalum na msimamizi wa Maktaba wa Shule ya wasichana ya Mwedo, Joseph Mangomes alipofika shuleni hapo kukabidhi msaada wa vitabu vya masomo ya Sayansi uliotolewa na Shirika la Read International kupitia UNESCO.
Na Mwandishi wetu, Arumeru
Wanafunzi wa shule ya Mwedo sekondari iliyopo wilayani Arumeru wamelishukuru Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kupitia Read International la...
11 years ago
GPLUNESCO KUPITIA READ INTERNATIONAL WATOA MSAADA WA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE YA SEKONDARI MWEDO ARUMERU
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
UNESCO, TCRA yataka wadau wa habari katika matumizi ya intaneti kuzingatia usiri na maadili
Mwenyekiti wa National Governance Internet Forum ambaye pia ni Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya akiwakaribisha wadau wa mitandao na watumiaji wa intaneti kwenye jukwaa hilo kabla ya kumkaribisha mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TCRA kufungua rasmi jukwaa hilo.. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tanzania Education and Research Network (TERNET), Amos Nungu na Kushoto ni Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na...
9 years ago
GPLUNESCO, TCRA YATAKA WADAU WA HABARI KATIKA MATUMIZI YA INTANETI KUZINGATIA USIRI NA MAADILI
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA MWEDO LAKABIDHI MISAADA KUPAMBANA NA CORONA ARUSHA
Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Richard Kwitega(katikati) akimsikiliza Mkurugenzi wa shirika la Maasai Women Development Organization(MWEDO),Ndinini Kimesera(kulia) walipokabidhi misaada mbalimbali ya usafi kwaajili ya kuunga mkono juhudi za kukabiliana na ugonjwa wa corona,kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Mwedo,Dk Eliamani Laltaika.
Katibu Tawala mkoa wa Arusha,Richard Kwitega(kulia) akimsikiliza Mkurugenzi wa shirika la Maasai Women Development Organization(MWEDO),Ndinini Kimesera(wa tatu...
10 years ago
Mwananchi19 Nov
Wataka muswada wa ubia uwanufaishe wananchi
11 years ago
MichuziMitaji ya ubia chachu ya maendeleo–Dk. Nagu
10 years ago
Habarileo19 Nov
Muswada wa Marekebisho Sheria ya Ubia wawasilishwa
SERIKALI imewasilisha bungeni Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) kwa nia ya kuboresha usimamizi na uratibu wa masuala ya ubia kati ya pande hizo.