UN:Milioni 3.7 wana njaa S.Kusini
Umoja wa Matifa unakadiria kuwa takriban watu millioni 3.7 Sudan kusini wanakabiliwa na uhaba wa chakula kutokana na vita
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili03 Feb
Milioni 20 wakumbwa na njaa Sahel
Umoja wa Mataifa unaomba zaidi ya dola bilioni 2 kuweza kuwapa watu milioni 20 chakula katika kanda ya Sahel barani Afrika.
11 years ago
BBCSwahili14 Jun
Njaa na magonjwa yatishia S-Kusini
Umoja wa Mataifa una wasiwasi kuwa wanyonge wengi wa vita vya Sudan Kusini wanakabili njaa na magonjwa
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Sudan kusini na tishio la njaa
Kufuatia zaidi ya miezi 8 ya mapigano Sudan Kusini, sasa inakabiliwa na tishio la baa la njaa.
11 years ago
BBCSwahili03 Jul
Sudani kusini kukumbwa na baa la njaa
Mgogoro wa Sudani kusini waelezwa kusababisha ukosefu wa chakula
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Hofu ya baa la njaa Sudan Kusini
Mashirika ya kimataifa ya misaada yameonya kuwa huenda Sudan Kusini ikakabiliwa na baa la njaa iwapo, mapigano hayatasitishwa.
11 years ago
BBCSwahili22 May
Njaa Sudan Kusini inaweza kuzuilika
Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa UN, Valerie Amos ameonya, kuna uwezekano mdogo wa kuzuia baa la njaa Sudan Kusini.
10 years ago
BBCSwahili25 Sep
Sudan kusini yaepuka baa la njaa
Ripoti ya hivi punde inaonesha kuwa Sudan kusini imeepuka makali ya njaa licha ya kukumbwa na vita
11 years ago
BBCSwahili26 Jul
Sudan kusini yakabiliwa na baa la njaa
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea uhaba wa chakula nchini Sudan Kusini kama mbaya zaidi kuwahi kuonekana duniani.
11 years ago
BBCSwahili19 May
Sudan Kusini inakumbwa na tisho la njaa
Rais wa Sudan kusini Salva Kirr ameonya kuwa taifa lake linakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kufuatia vita vikali vinavyoendelea nchini humo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania