Sudan kusini yakabiliwa na baa la njaa
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa limeelezea uhaba wa chakula nchini Sudan Kusini kama mbaya zaidi kuwahi kuonekana duniani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Oct
Hofu ya baa la njaa Sudan Kusini
10 years ago
BBCSwahili25 Sep
Sudan kusini yaepuka baa la njaa
11 years ago
BBCSwahili03 Jul
Sudani kusini kukumbwa na baa la njaa
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Sudan kusini na tishio la njaa
11 years ago
BBCSwahili22 May
Njaa Sudan Kusini inaweza kuzuilika
11 years ago
BBCSwahili19 May
Sudan Kusini inakumbwa na tisho la njaa
10 years ago
Mtanzania28 May
Burundi yakabiliwa na njaa
Na Mwandishi Wetu, Bujumbura
HALI ya njaa imeikumba Burundi hasa katika mji mkuu wa Bujumbura baada ya wasafirishaji wa mazao kusimamisha huduma yao kuhofia usalama wao.
Kutokana na hali hiyo Serikali imekuwa ikihaha kuwaomba wananchi hasa waliokimbia wa mikoa ya milimani ya Makamba na Ngozi kurejea nchini humo waendelee na kilimo.
Akizungumza na MTANZANIA jana, mkazi wa Bujumbura ambaye jina lake linahitafadhiwa kwa sababu za usalama, alisema kwa wiki moja sasa huduma muhimu za vyakula...
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
Singida watahadharishwa na baa la njaa, washauriwa kutunza vyakula
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida, Edward Ole Lenga, akizungumza kwenye hafla ya utundikaji mizinga ya nyuki kimkoa zilizofanyika katika kijiji cha Nkungi wilayani Mkalama.Wa pili kulia walioketi ni Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone na (wa kwanza kulia) ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama, James. Kushoto (aliyekaa) ni Katibu tawala mkoa wa Singida Liana Hassan.
Na Nathaniel Limu, Singida
KAIMU mkuu wa wilaya ya Singida, Edward Ole Lenga, amewataka wakazi wa...
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya Corona: Umoja wa Mataifa waonya juu ya baa la njaa la 'Kibiblia'