Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upinzani wambana Dk Migiro, AG bungeni

>Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha Rose Migiro, jana alibanwa bungeni baada ya wabunge wa upinzani kuhoji juu ya Muswada wa Sheria ya Kulinda Watoa Taarifa za Uhalifu na Mashahidi wa mwaka 2015 wakieleza umewahishwa bila sababu yoyote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Mhe. Freeman Mbowe
1. UTANGULIZI:
Mheshimiwa Spika,

Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa katika harakati na shughuli zangu za kisiasa.

Mheshimiwa Spika,Napenda kuchukua nafasi hii pia, kuwashukuru watanzania wote kwa ujumla kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko nchini. Shukrani hizi za pekee ziwafikie wenyeviti...

 

10 years ago

GPL

KIMENUKA BUNGENI: BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA UPINZANI KUGOMEA MISWADA

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limeahirishwa ghafla leo baada ya wabunge wa upinzani kusimama na kukataa kutoka nje ili kuzuia miswada mitatu muhimu ya Gesi, Petroli na Uziduaji kusomwa kwa Hati ya Dharura. Hali hiyo imetokea baada ya Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika kuomba mwongozo juu ya uvunjaji wa kanuni za bunge kwa kuwekwa miswada mitatu sambamba. Spika wa Bunge, Anne Makinda aliwataka wabunge hao kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AGOMEA HOTUBA YA KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI KUSOMWA,

Charles James, Globu ya Jamii

SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amekataa kusomwa kwa hotuba ya Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni kuhusu hotuba ya Waziri Mkuu kwa kile alichoeleza kuwa zina shida ikiwemo kuwa na mambo mengi ya kubuni.

Amesema aliipata hotuba hiyo mapema na kuipitia ambapo amebaini kuwa na mambo mengi ya kubahatisha huku ikiwa haijazingatia kanuni za kiuandishi.

Amesema hawezi kuruhusu mambo ya mwaka wa kwanza na wa pili wa Bunge kufanywa katika mwaka wa tano na hivyo kusema...

 

11 years ago

Dewji Blog

Hotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa

Peter-Msigwa1

Hotuba Ya Msemaji Mkuu Wa Upinzani-maliasili Na Utalii Final Version 2014 by moblog

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni yaandaa futari wakati wa kikao cha ukawa jijini Dar es salaam

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa akishiriki futari iliyoandaliwa na Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni wakati wa kikao cha Viongozi Wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na wabunge wa umoja huo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati mbalimbali ya ushindi kuelekea uchaguzi mkuu. Kushoto kwake ni Mbunge wa CUF, Ali Khamis Seif (Mkoani) na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa NLD Zanzibar, Ahmad Hemed. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. GODBLESS LEMA (MB),

UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu, familia yangu na viongozi wangu wa chama na wananchi wa Jimbo langu. Nawashukuru pia maadui zangu kwa dhati kwani uadui wao, hila zao, na mbinu zao chafu dhidi yangu zimeendelea kuiimarisha imani yangu na tumaini langu siku hadi siku, katika vita hii muhimu tunayopigana ya kulikomboa taifa hili.

Mheshimiwa Spika,Muswada huu wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi unaletwa katika Bunge lako tukufu wakati ambapo nchi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabalozi wa CCM wambana Kinana

Zaidi ya mabalozi 30 wakiwamo wenyeviti wa kitongoji na kata (CCM), wilayani Nkasi wamembana Katibu Mkuu wa chama hicho, Abddulrahiman Kinana wakimtaka atoe ufafanuzi kutokana na kukwama kwa ahadi mbalimbali za Rais Jakaya Kikwete.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani