URAHISI WA MUME KUTEMBEA NA MASHOSTI WA MKE!
![](http://api.ning.com:80/files/Miy5-5-cgYtwqBHC9Ou0lkF2-AI558d0p-U6e7arhvG6FvLWmjX1Be16AdL1t*DrZAUsM1Nkua3COyUGGVdrwUKckfUx-E21/cheatingboyfriendhusband.jpg?width=650)
Maisha ya kimapenzi yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana kwani kuna changamoto nyingi zinazoweza kujitokeza kiasi kwamba usipoangalia unaweza kuishia kusema hutakuja kumpenda mtu, heri uishi peke yako! Tatizo kubwa ambalo limekuwa likiwasumbua wengi walio kwenye ndoa na wale walio kwenye uhusiano wa kawaida ni usaliti. Lakini naomba leo niseme kwamba, wapo watu wanajitakia kusalitiwa na hapa nawazungumzia wanawake. Kuna...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mL7vEimd6q3o-n5KIczPxT0vJDVJlJCevk7ZoBvTrdjn7ihRvQtLNjUc9maLADoIsIDHjK-K-3N8fOsJkaHZWOQpfLdJ9P3e/mume.jpg?width=650)
MUME, MKE WATEKWA!
10 years ago
Mwananchi05 Jun
MUME KWA MKE TAJIRI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-yZgY*Sei*vk6Lde6Uw0--tXYTmrwd*nTWgE3h*0YmBgquaNMXMcMImevBg5iOBGQXU0VMtTNZ9-65JovJwIpUU/mke.jpg)
MUME, MKE VARANGATI MAHAKAMANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouuqv9D4AmId4C-gWj7t6xPLzetpoPOJBmE7KPy9knNLn5nQ07E04hm8XG9kTz79Xi4nxZavCXu4xohd9QX*PEDSO/MUMEcopy.jpg?width=650)
MUME ADAI KUKIMBIWA NA MKE!
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mke amkimbia mume kingono
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Mume aua mke na kutoweka
MWILI wa mwanamke aliyefamika kwa jina la Ekanga Michael (30), umekutwa korongoni maeneo ya Mwanga Vamia karibu na kambi ya jeshi, Manispaa ya Kigoma Ujiji ikidaiwa kuuawa na mumewe. Akifafanua...
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Mke, mume wanaswa na bangi Arusha
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Mume amchoma mke sehemu za siri
11 years ago
Habarileo17 Jul
Mume aua mke kwa kisu
WATU watano wamekufa mkoani Rukwa katika matukio tofauti, akiwemo Silvia Patrick aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa kisu kifuani kutokana na wivu wa mapenzi. Joseph Dominick (33) baada ya kumuua mkewe huyo mwenye miaka 26, alijaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni, lakini hakufa na amelazwa katika Kituo cha Afya cha Kamasamba wilayani Momba mkoani Mbeya akiwa chini ya ulinzi.