Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


URAIS; KIGWANGALA ATAKA APIMWE

Stori: Elvan Stambuli
MBUNGE wa Nzega, Dk. Hamisi Kigwangala amesema ametangaza nia ya kugombea urais ili aweze kupimwa na chama chake (CCM) na wananchi kama anafaa. Akizungumza kwenye Ukumbi wa Hyatt Regencey Kilimanjaro Hotel jijini Dar es Salaam juzi, Dk. Kigwangala alisema ameamua kutangaza nia bila kutumwa na mtu au kikundi chochote isipokuwa amedhamiria kuongoza taifa.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Dk. Kigwangala ataka shirikisho la Jogging

1

Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangala akizungumza na vikundi mbalimbali vya Joging vilivyoshiriki katika tamasha la mbio za Amani lililoshirikisha wawakilishi kutoka pande mbalimbali za nchi na kupokelewa na mbunge huyo ambaye alikuwa mgeni rasmi, Dr. Khamis Kigwangala amewaasa wanasiasa kutoleta siasa za uchochezi hasa katika mchakato mzima wa Katiba mpya ambapo amesema waachwe wananchi wenyewe waisome waielewe na wao wataamua kama wataipigia kura ya Ndiyo au Hapana, mapokezi hayo...

 

11 years ago

GPL

DK. KIGWANGALA ATAFAKARI URAIS 2015

Mbunge wa Jimbo la Nzega Mkoani Tabora kupitia CCM, Hamis Kigwangala. Na John Dotto
MBUNGE wa jimbo la Nzega Mkoani Tabora kupitia CCM, Hamis Kigwangala, ametanabaisha kuwa anatafakari kama anaweza kugombea Urais kwenye uchaguzi mkuu ujao kupitia chama cha mapinduzi CCM. Akijibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka kujua fununu zilizo enea kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ambayo imekuwa ikiibua mijadala mara kwa mara...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kigwangala ajitosa rasmi urais 2015

MBUNGE wa Nzega, Dk. Hamisi Kigwangala, amejitosa rasmi katika mbio za kuwania urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwaka 2015. Tangazo hilo la Kigwangala, linaongeza idadi ya wanaowania kiti hicho...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kigwangala atafakari kujitosa urais 2015

MBUNGE wa Nzega mkoani Tabora, Dk. Hamis Kigwangala, amesema anatafakari kama ataweza kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akijibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA JIMBO LA NZEGA DK KHAMIS KIGWANGALA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS 2015

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa na Mbunge wa Jimbo la Nzega, Dk. Khamis Kigwangala, akitangaza nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wakati alipokutana na waandishi wa habari ambapo amesema hajasukumwa na mtu yeyote ila ni yeye mwenyewe ameamua kwa moyo wake. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Serikali za… ...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Rais Magufuli apimwe baada ya siku 100’

Kasi aliyoanza nayo Rais John Magufuli ya kupambana na watumishi wasiowajibika kwenye ofisi za umma, kutoa maagizo na kuchukua hatua mbalimbali, isitumiwe kama kipimo cha utendaji wake kwa kuwa ni mapema, wasomi wamesema.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda ataka urais

WAKATI makada watano wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakitumikia adhabu ya mwaka mmoja kwa kosa la kuanza kampeni za urais wa 2015 kabla ya muda, Waziri Mkuu Mizengo Pinda naye...

 

10 years ago

Mwananchi

Mrema ataka JK aendelee na urais

>Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amesema hakuna ubaya Rais Jakaya Kikwete akiachwa kuongeza nchi kwa muda ili akamilishe mchakato wa Katiba Inayopendekezwa pamoja na Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

11 years ago

BBCSwahili

Blatter Ataka muhula wa 5 urais Fifa

Rais wa shirikisho la kanda FIFA, Sepp Blatter, amesema yuko tayari kuendelea na wadhfa huo kwa muhula mwengine wa 5.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani