Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USA kuamua kuhusu ndoa za jinsia moja

Mahakama kuu nchini Marekani inatarajiwa kutoa uamuzi wa nchi nzima iwapo wapenzi wa jinsia moja wana haki ya kufunga ndoa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ireland yaamua kuhusu ndoa za jinsia moja

Shughuli ya upigaji kura inaendelea huko Ireland katika kura ya maoni ya kubadilisha katiba ili kuruhusu ndoa za mapenzi ya jinsia moja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa za jinsia moja zaungwa mkono

Ishara za mapema nchini Ireland zinaonyesha kuwa wanaounga mkono ndoa hizo wanaelekea kupata ushindi mkubwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanisa laidhinisha ndoa za jinsia moja

Kanisa la Presbyterian nchini Marekani ,limebadilisha sheria yake ya ndoa na kuwajumuisha watu wa jinsia moja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaopinga ndoa za jinsia moja wasalimu

Kiongozi anayeongoza kampeni za kupinga ndoa za jinsia moja nchini Ireland amekubali kushindwa,huku kura zikiendelea kuhesabiwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Ireland yahalalisha ndoa za jinsia moja

Waziri mkuu nchini Ireland amesema Ireland imetoa ujumbe mkubwa baada ya kupiga kura kwa wingi kuhalalisha ndoa za jinsia moja.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndoa za jinsia moja zapingwa Uingereza

Maaskofu katika kanisa moja nchini Uingereza wawaambia viongozi wa dini kwamba hawataruhusiwa kuingia katika ndoa za jinsia moja

 

10 years ago

BBCSwahili

Sheria ya ndoa za jinsia moja yaanzishwa

Kinara mkuu wa chama cha upinzani cha Labour nchini Australia, ameanzisha sheria inayokubalia ndoa ya wapenzi wa jinsia moja,

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa za jinsia moja zafanyika Uskochi

Harusi ya kwanza ya watu wa jinsia moja imefanyika huko Uskochi .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani