USAFIRISHAJI MIZIGO DAR NA ZANZIBAR

TUMA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA BAHARI AMBAYO NI NAFUU KWA UZITO WOWOTE ULE, CONTAINER LETU LINAONDOKA MWISHONI MWA FEBRUARY, KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NASI KWA CONTACT HIZO HAPO JUU
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
USAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBARUSAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBAR

10 years ago
Vijimambo25 Jan
USAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBAR
TUMA BIASHARA ZAKO KWA NJIA YA BAHARI AMBAYO NI NAFUU KWA UZITO WOWOWTE ULE, CONTAINER LETU LINAONDOKA MWISHO MWA FEBRUARY.KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NASI KWA CONTACT HIZO HAPO JUU
5 years ago
MichuziNdege ya mizigo kuimarisha usafirishaji samaki nje ya nchi
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema mipango ya Serikali kununua ndege ya mizigo utaimarisha usafirishaji wa minofu ya samaki moja kwa moja kwenda nje ya nchi kutokea uwanja wa ndege wa Mwanza.
Waziri Kamwelwe ameyasema hayo Jumatatu Juni Mosi 2020 jijini Mwanza wakati akifungua mkutano wa kupokea mikakati ya pamoja kuondoa vikwazo na kufanikisha biashara ya usafirishaji minofu ya samaki kwenda nje ya nchi hususani mataifa ya Ulaya ambako kumekuwa na...
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Licha ya kupata mwekezaji; Usafirishaji mizigo waporomoka kutoka tani 1.4 milioni hadi 200,000
5 years ago
Michuzi
RAIS SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR. IKULU JIJINI ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 , mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais)...
10 years ago
MichuziZANZIBAR YADHIMISHA SIKU YA KUPAMBANA NA USAFIRISHAJI NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI
Hayo ameyaeleza huko Kiwanja cha Kombawapya Zanzibar katika Maaadhimisho ya kupiga vita Utumiaji na Usafirishaji pamoja na Udhalililshaji wa Dawa za kulevya Duniani.
Amesema Zanzibar inakadiriwa kuwa na watumiaji wa dawa za kulevya zaidi ya 9000 idadi ambayo ni kubwa ukilinganisha na...
10 years ago
Dewji Blog18 Jun
Zanzibar yadhimisha siku ya kupambana, usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya duniani
Waandamanaji katika maadhimisho ya siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani wakipita mbele ya mgeni rasmi katika kiwanja cha Kombawapya. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Rais wa watoto Tanzania Ameir Haji Khamis akitoa ujumbe wa watoto na dawa za kulevya kwenye sherehe za siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani katika kiwana cha Kombawapya.
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR
10 years ago
Vijimambo20 Jul
MSAADA WA USAFIRISHAJI WA VIFAA VYA KIJAMII KUTOKA WASHINGTON, SEATTLE MAREKANI KWENDA ZANZIBAR

Napenda kuchukua nafasi hii adhimu mbele yenu kuandika mada yangu tukufu kama ilivyotanjwa hapo juu.
Kwa niaba yangu binafsi, Wazanzibari na Watanzania wote kwa ujumla waliopo hapa Washington State na Nchini Marekani napenda kutumia nafasi ya kutoa maelezo ya vifaa vilivyopo hivi sasa katika Storage zetu kwa hatua kuvisafirisha kutoka Bandari ya Seattle hadi Zanzibar.
Vifaa hivi vimekusanywa na mimi kwa mashirikiano wafadhili mbali mbali waliojitolea kwa ajili ya kusaidia juhudi za...