Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usawa wa kijinsia ni mbeleko ya kubeba watu kisiasa?

BINAFSI mimi naamini katika usawa wa binadamu. Ingawa katika kuamini usawa huo natofautiana na wengi kwamba usawa wa binadamu uko katika kutaka yale yote yanayofanywa na jinsia moja yafanywe pia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mjadala wa Usawa wa Kijinsia

Mjadala huu uliangazia usawa wa kijinsia katika mfumo wa serikali za ugatuzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pengo la usawa wa kijinsia lapungua

Pengo lililopo kati ya wanaume na wanawake linaendelea kuzibika katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni,

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba lizingatie usawa wa kijinsia

BUNGE Maalumu la Katiba, wiki inayoanza kesho litaingia katika hatua nyingine muhimu ya kupokea taarifa ya rasimu ya pili ya Katiba kutoka kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba  na baadaye...

 

11 years ago

BBCSwahili

Hoja:Je usawa wa kijinsia unaweza kufikiwa?

Je kuwa msichana au mwanamke kunakuzuia uhuru wa kufanya mambo mengi unayoyataka?

 

11 years ago

Mwananchi

Usawa wa kijinsia waibuka tena semina ya Bunge

Suala la usawa wa jinsia limeibuka tena katika semina ya Bunge la Katiba baada ya mjumbe Suzan Lyimo kutaka Mwenyekiti atakayechaguliwa kuhakikisha kuwa kunakuwa na idadi sawa ya wachangiaji kati ya wanaume na wanawake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ajenda ya usawa wa kijinsia ni ya vyama vya siasa?

DHANA ya usawa wa jinsia inatumika pale ambapo jamii imeweza kuondoa tabaka lililojengeka katika kufikia, kumiliki na kufaidi rasilimali zinazoshikika na zisizoshikika katika jamii husika. Kimantiki usawa wa jinsia ni...

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKA 2030 UWE MWISHO WA TOFAUTI YA USAWA WA KIJINSIA-UN

 Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi akiwa na  wajumbe  kutoka Zanzibar  waliohudhuria mkutano wa  59 wa CSW Anna Maembe,  Katibu Mkuu,  Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto akifuatilia  hitimisho la Mkutano wa 59 wa Kamisheni kuhusu Hadhi ya  Wanawake. Nyuma yake  ni  Mhe. Jaji Angela Kileo Sehemu ya Ujumbe wa Tanzania wakifuatilia  uhitimishwaji wa  Mkutano wa  59 wa  CSW

Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

WANAUME NA WAVULANA WADAU MUHIMU KUFIKIA USAWA WA KIJINSIA

 Wajumbe wakifuatilia majadiliano kuhusu uwezeshaji wa wanawake, ambazo wazungumzaji wakuu  walikuwa ni Balozi Tuvako Manongi,  Waziri K. Kellie kutoka Canada  na Waziri Asa Regner kutoka Sweden katika mchango wake, Balozi Manongi alisema mifuko ya uwezeshaji ambayo imeanzishwa nchini Tanzania ni  moja ya  mafanikio ambayo  imeweza kuwakwamua wanawake kuondokana na  umaskini.   Baadhi ya mifuko hiyo ni  Mfuko wa  Maendeleo  ya Wanawake kwa Tanzania Bara na  Mfuko wa  Maendeleo  ya wanawake ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani