Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushindi wa Bashe kupingwa mahakamani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, kimetangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea ubunge wa CCM, Hussein Bashe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa kupingwa mahakamani

Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia amesema leo anatarajia kwenda mahakamani kupinga ubomoaji nyumba katika Bonde la Msimbazi kwa madai kuwa Serikali haijatimiza ahadi ya kuwagawia wakazi wengi wa maeneo hayo viwanja Mabwepande.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema kumpinga Bashe mahakamani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Nzega mkoani Tabora kimetangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM).

 

10 years ago

Habarileo

Bashe: Achaneni na wapinzani, watatugawa

MGOMBEA ubunge wa CCM katika Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe, amesema wapinzani wanataka kuwagawa wananchi kwa misingi ya udini na ukabila hivyo amewataka wananchi wasimchague mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

10 years ago

Mtanzania

Bashe: Uchaguzi huu ni mgumu

Hussein-BasheNa Odace Rwimo, Nzega

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa, Hussein Bashe, amewaambia wanachama wenzake kukaza buti kwani uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu.
Bashe alisema hayo wakati akizungumza na wanachama wenzake pamoja na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho wilayani Nzega.
Alisema wanaCCM wanatakiwa kutambua kuwa uchaguzi wa mwaka 1995,2000,2005,2010 na huu wa 2015 kuna tofauti kubwa, hivyo wanatakiwa
kujipanga.
Bashe aliyepitishwa na CCM kuwania...

 

10 years ago

Habarileo

Bashe: Magufuli anaakisi mabadiliko

MGOMBEA ubunge wa Nzega Mjini kupitia CCM, Hussein Bashe, amesema yeye ni muumini wa mabadiliko ndani ya CCM na kwamba mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ndiye anayeakisi mabadiliko anayotarajia.

 

10 years ago

Raia Mwema

Nchimbi ampamba Bashe Nzega Mjini

MJI wa Nzega mkoani Tabora wiki iliyopita ulitawaliwa na nderemo za aina yake wakati mgombea ubun

Christopher Gamaina

 

10 years ago

Mwananchi

Mgeja, Bashe wakutana faragha na Dk Magufuli

Baadhi ya makada wa CCM waliokuwa katika kambi ya aliyekuwa mgombea urais wa CCM, Edward Lowassa jana walijitokeza katika mkutano wa mgombea aliyepitishwa na chama hicho, Dk John Magufuli, Nzega, Tabora.

 

10 years ago

Mwananchi

Pinda kupingwa kwa maandamano Zanzibar

Vyama vya upinzani visiwani Zanzibar vimesema vitafanya kampeni ya kumshtaki Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa wananchi, iwapo hatojiuzulu kutokana na kashfa ya uchotaji wa Sh306 bilioni kupitia Akaunti ya Tegeta Escrow, ili kulinda misingi ya uwajibikaji wa pamoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani