Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgeja, Bashe wakutana faragha na Dk Magufuli

Baadhi ya makada wa CCM waliokuwa katika kambi ya aliyekuwa mgombea urais wa CCM, Edward Lowassa jana walijitokeza katika mkutano wa mgombea aliyepitishwa na chama hicho, Dk John Magufuli, Nzega, Tabora.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Tanzania 2020: Wapinzani wakutana faragha na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam

Rais Magufuli hakusalimiana kwa kupeana mikono badala yake kupeana miguu na ishara ya mikono kama njia ya kujikinga na virusi vya corona.

 

11 years ago

Mwananchi

Karume, Maalim Seif wakutana faragha Z’bar

>Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya sita, Dk Amani Abeid Karume amekutana na viongozi wa Kamati ya Maridhiano Zanzibar na kujadiliana hali ya kisiasa iliyojitokeza katika mjadala wa Katiba Mpya, pamoja na kujitoa kwa wabunge wa Ukawa kwenye vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.

 

9 years ago

Habarileo

Bashe: Magufuli anaakisi mabadiliko

MGOMBEA ubunge wa Nzega Mjini kupitia CCM, Hussein Bashe, amesema yeye ni muumini wa mabadiliko ndani ya CCM na kwamba mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli ndiye anayeakisi mabadiliko anayotarajia.

 

9 years ago

Dewji Blog

Bashe, Kigangwalah wammwagia sifa za urais Dk Magufuli Nzega

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwapungia mikono wananchi aqlipokuwa akiwasili katika mkutano wa kampeni  kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabota.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda jukwaani  katika mkutano wa kampeni  kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akisalimiana na Spika wa zamani wa Bunge la...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli, Shein wakutana Ikulu

RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein Ikulu jijini Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mazungumzo hayo jana, Rais Shein amesema lengo la mazungumzo hayo, ilikuwa kumpa taarifa Rais Magufuli, kuhusu hali ya mazungumzo ya kisiasa yanayoendelea huko Zanzibar baada ya Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Habarileo

Bashe: Achaneni na wapinzani, watatugawa

MGOMBEA ubunge wa CCM katika Jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe, amesema wapinzani wanataka kuwagawa wananchi kwa misingi ya udini na ukabila hivyo amewataka wananchi wasimchague mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa.

 

9 years ago

Mwananchi

Ushindi wa Bashe kupingwa mahakamani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, kimetangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea ubunge wa CCM, Hussein Bashe.

 

9 years ago

Mtanzania

Bashe: Uchaguzi huu ni mgumu

Hussein-BasheNa Odace Rwimo, Nzega

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa, Hussein Bashe, amewaambia wanachama wenzake kukaza buti kwani uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu.
Bashe alisema hayo wakati akizungumza na wanachama wenzake pamoja na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho wilayani Nzega.
Alisema wanaCCM wanatakiwa kutambua kuwa uchaguzi wa mwaka 1995,2000,2005,2010 na huu wa 2015 kuna tofauti kubwa, hivyo wanatakiwa
kujipanga.
Bashe aliyepitishwa na CCM kuwania...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema kumpinga Bashe mahakamani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Nzega mkoani Tabora kimetangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani