Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ushiriki wa Tanzania katika Mkutano wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani jijini Geneva

Pichani ni ushiriki wa Tanzania katika Mkutano wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani ambao Rais wa Msalaba Mwekundu Tanzania ambapo Dr. Zainab Amir Gama na Mh. Balozi Modest Mero wanashiriki jijini Geneva Uswisi.  Mkutano hio ulioanza tarehe 4 Desemba na utaisha leo tarehe 10 Disemba 2015.  Huu ni mkutano mkuu wa Msalaba Mwekundu na Hilari Nyekundu wa dunia ambao maudhui ya mkutano huu ni mjadala na maamuzi ya uongozi, amani, uhamiaji na  unyanyasaji wa wanawake na watoto,  mpango wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA 104 WA SHIRIKA LA KAZI DUNIANI (ILO), GENEVA 2015

Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudentia Kabaka (Kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah Moshi (Kushoto) wakifuatilia majadiliano kwenye Mkutano wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) unaofanyika Geneva, Uswizi. Mada Kuu katika Mkutano huo ambao umehudhuriwa na wajumbe zaidi ya 2000 kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni ni Mchakato wa Kurasimisha Sekta Isiyo Rasmi na Mchango wa Ujasiriamali wa Kati na Mdogo katika Kutengeneza Ajira. Waziri Kabaka aliuhutubia Mkutano huo...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yawakilishwa katika Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mjini Geneva,Uswis

Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia kwa Makini Mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika Mkutano wa Wabunge Vijana kutoka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika Mjini Geneva Uswis. Kutoka kulia ni Mhe. Ester Bulaya, Mhe. Godfrey Mgimwa na Mhe. Neema Hamid. Mkutano huo pamoja na Mauala mengine unajadili changamoto wanazokabiliana nazo Wabunge Vijana hususani wanawake katika siasa. Mkutano huo ukiendelea.Ujumbe wa Tanzania ukiwa katika Picha ya Pamoja baada ya Kumalizika kwa siku ya Kwanza ya...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki katika mkutano wa 68 wa Shirika la Afya Duniani WHO

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.Seif S.Rashid (Mb) Ametoa hotuba katika mkutano wa Shirika la Afya Duniani(WHO), unaoendelea mjini Geneva,Uswisi.
Katika hotuba yake ameeleza masuala mbalimbali yaliyotekelezwa na yanayoendelea kutekelezwa hususani kufikiwa kwa lengo la milenia la kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano kiwango cha watoto 54 kati ya vizazi hai 1000.
vile vile utekelezaji wa mpango wa Afya ya msingi wa 2007-2017, lengo ni kuimarisha na kuhakikisha huduma za afya...

 

10 years ago

Michuzi

Dr. Winnie Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Geneva, Uswisi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Dr. Margaret F. Chan amemteua Dr. Winnie  Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani, upande wa masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu Malaria na Magonjwa yaliyosahaulika. Uteuzi huu umetangazwa rasmi na Dr. Chan wakati wa kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Shirika la Afya Duniani kilichoanza tarehe 14 mpaka tarehe 26 Mei 2015, Geneva, Uswisi.
Dr. Mpanju-Shumbusho ni mtaalamu na kiongozi mwenye uzoefu wa zaidi ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msalaba mwekundu ‘wapigwa jeki’

CHAMA cha Msalaba Mwekundu tawi la Mailimoja, kimepokea msaadawa vifaa pamoja na fedha kutoka kwa mke wa mbunge wa Kibaha mjini, Selina Koka ili wawezekufanya kazi kwa ufanisi. Msaada huo ulikabidhiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msalaba Mwekundu yasaidia watoto walemavu

CHAMA cha Msalaba Mwekundu (Red Cross) Manispaa ya Temeke, kimetoa zaidi ya jozi 900 za viatu na sabuni za kuogea na kufulia kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na viungo....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msalaba Mwekundu Mailimoja wapigwa tafu

CHAMA cha Msalaba Mwekundu tawi la Mailimoja Kibaha mkoani Pwani, kimepokea dawa, vifaa pamoja na fedha kutoka kwa mke wa mbunge wa Kibaha mjini, Selina Koka ili waweze kufanya kazi...

 

11 years ago

Habarileo

Msalaba Mwekundu wasihi Watanzania kuchangia Moro

CHAMA cha Msalaba Mwekundu Tanzania kimewaomba Watanzania waendelee kutoa michango kwa ajili ya walioathiriwa na mafuriko Morogoro, kwa kuwa iliyotolewa haitoshi.

 

11 years ago

Habarileo

Chama cha Msalaba Mwekundu chapokea Shilingi milioni 20.7

CHAMA cha Msalaba Mwekundu Tanzania kimepokea msaada wa Sh milioni 20.7 na vyakula mbalimbali vyenye thamani ya Sh milioni 4.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani