Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKAE NA UPWEKE MOYONI MWAKO!

HAPA kwenye Love & Life ni mahali sahihi pa kuongeza ufahamu kuhusu mambo ya uhusiano na mapenzi. Naamini kila siku umeendelea kuelimika kupitia hapa. Yes! Leo nitazungumzia juu ya kuweza kuushinda upweke katika moyo wako. Natambua kuna baadhi ya wanawake au wanaume wanakaa kipindi kirefu bila ya kutamkiwa kuwa wanapendwa, kutokana na hali hiyo wanakuwa wapweke na wakati mwingine kufikiria kuwa wao ni wabaya na wasiostahili...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

USIKAE NA UPWEKE MOYONI MWAKO – 2

TUNAENDELEA kujifunza kuhusu mapenzi marafiki zangu. Hakuna kitu kibaya kama kukaa na upweke moyoni. Kamwe usijaribu kufikiri kuwa huna haki ya kuwa na mwenzi wa maisha.
Ni mawazo potofu. Hata kama utakuwa umekaa peke yako kwa kipindi kirefu, amini kuwa kuna mahali pengine ulikuwa unakosea ndiyo maana ikawa hivyo na sasa unatakiwa kujitambua na kuanza mambo kwa upya kabisa.
Kama mtakumbuka, wiki iliyopita tuliishia pale...

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Tanzania Daima

Kemikali mwilini mwako II

PUFF, ni neno la kiingereza likimaanisha aidha ‘…kuvuta hewa kwenda ndani ya mwili wako na hata kutoa nje wakitumia sentensi isemayo "…puff out".  Nimeliandika hivyo kwani limezoeleka kwa wavutaji wengi...

 

11 years ago

GPL

UHUSIANO ULIOPO UNA MANUFAA MAISHANI MWAKO?-3

ILI uhusiano wako uwe na maana lazima uangalie mara mbili na ujiridhishe kuwa una manufaa na wewe. Kuna mengi tumezungumza katika matoleo yaliyopita lakini leo tunafikia ukingoni. Marafiki, uhusiano usio na amani, kuharibu fedha kwa anasa hauna maana katika maisha yako. Sanasana unazidi kujiongezea matatizo tu. Kwa mfano, si utaratibu mzuri kutumia fedha nyingi kwa kulipia nyumba za wageni, taksi na mahitaji mengine kwa ajili ya...

 

11 years ago

GPL

UHUSIANO ULIOPO UNA MANUFAA MAISHANI MWAKO?

ILI jambo lolote liwe na maana ni lazima liwe na manufaa. Hakuna mtu anayeweza kufanya jambo ambalo halina faida kwake. Marafiki, kwa bahati mbaya sana, wapo ambao wanakuwa kwenye uhusiano bila ya kuwa na mipango yoyote ya maana. Ndugu zangu, huwezi kukwepa mapenzi katika maisha, lakini jiulize, upo kwa sababu gani na huyo mwenzi wako? Umempenda au unataka kupoteza muda?
Anayefanya mambo bila kutazama faida na hasara zake siyo...

 

9 years ago

GPL

KOLETHA ACHOSHWA NA UPWEKE!

Muigizaji wa muda mrefu, Koletha Raymond. BRIGHTON MASALU KOLETHA Raymond, ambaye ni muigizaji wa muda mrefu, amesema kwa sasa amechoshwa na upweke huku akiweka wazi kuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano endapo atapata mwanaume mwenye sifa stahiki. ‘Akidondosha silabi’ na Amani, Koletha alisema kwa muda mrefu sasa amekuwa peke yake huku pombe ikigeuka faraja pekee ya moyo wake, kutoka na kukosa mapenzi ya dhati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani