Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA WANAWAKE WA TANZANIA DMV WAFANA

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili kwenye ukumbi wa Martin's Crosswinds uliopo Greenbelt, Maryland kwenye usiku wa Wanawake wa Tanzania ulioratibiwa na kikundi cha wakinamama wa tano chenye maskani yao DMV kinachobeba jina la Tano ladies na kuufanya usiku huo kuwa wa aina yake na kuweka historia ya wanawake nchini Marekani kwa kusahau tofauti zao, kuwaacha wapendwa wao nyumbani na kuwa kitu kimoja kwa kujumuika pamoja kuelimishana juu ya kupendana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Usiku wa wanawake wa Tanzania wafana, Balozi awafagilia tano ladies

IMG_0786

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili kwenye ukumbi wa Martin’s Crosswinds uliopo Greenbelt, Maryland kwenye usiku wa Wanawake wa Tanzania ulioratibiwa na kikundi cha wakinamama wa tano chenye maskani yao DMV kinachobeba jina la Tano ladies na kuufanya usiku huo kuwa wa aina yake na kuweka historia ya wanawake nchini Marekani kwa kusahau tofauti zao, kuwaacha wapendwa wao nyumbani na kuwa kitu kimoja kwa kujumuika pamoja kuelimishana juu ya kupendana na...

 

9 years ago

Michuzi

MKESHA WA MWAKA MPYA DMV WAFANA

 Mama wa mitindo Asya Idarous Khamsini akihesabu sekunde zilizoslia kuelekea mwaka mpya kwenye sherehe ya mkesha wa mwaka mpya 2016 iliyofanyika Lanham, Maryland siku ya Alhamisi Desemba 31, 2015 iliyoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania DMV na kuwakutanisha wana DMV na familia zao wakiwemo marafiki kutoka majimbo mengine huku wengine wakiokea Tanzania. PICHA NA KILIMANJARO STUDIOWafuangaji champagne wakiwa tayari kama kikosi cha mizinga wakisubilia sekunde zilizobaki kuingia mwaka 2016 kuachia...

 

10 years ago

GPL

USIKU WA DIAMOND PLATNUMZ WAFANA MJINI DODOMA

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya makamuzi ya nguvu usiku wa kuamkia leo ndani ya Ukumbi wa Matei Lounge, Area D mkoani Dodoma kwenye Usiku wa Diamond Platnumz. Diamond akiwadatisha mashabiki wake waliofurika kwa ajili ya Usiku wa Diamond…

 

10 years ago

Vijimambo

USIKU WA VALENTINE "JIACHIE NIGHT" WAFANA HOUSTON

Usiku wa  Jiache Night ulioletwa na BongoKlan Entertainment siku ya Valentine utakuwa ni usiku wa kukumbukwa kwa wakazi wengi wa jiji la Houston, TX. Party la nguvu lilidondoshwa likiendana na Muziki mkali kutoka kwa Bombastic Sound wakiongozwa na Dj.Isser. Pata picha za tukio hilo .



















































































 

10 years ago

GPL

SIKU YA MSANII MLIMANI CITY WAFANA SANA USIKU HUU

Mgeni rasmi katika Siku ya Msanii Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongea jambo katika siku ya Msanii Mlimani city.…

 

10 years ago

Vijimambo

Usiku wa Black &White 55th Birthday Bash ya Asia Idarous Khamsin wafana

NA ANDREW CHALE
SHEREHE maalum ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 55 ya kuzaliwa kwa Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin ‘Black &White 55th Birthday Bash’ usiku wa Desemba 24 ulifana huku Spice Modern Taarab wakikonga nyoyo wadau mbalimbali waliojitokeza ndani ya M.O.G Bar (Zamani Nyumbani Lounge) katika tafrija hiyo.
Sherehe hizo zilizoandaliwa na Wabunifu wa mavazi wachanga na wanaochipukia nchini, uliojulikana kama ‘Black &White 55th Birthday Bash Asia Idarous Khamsin’ ambapo wadau...

 

10 years ago

Michuzi

Usiku wa Tuzo za Filamu wafana jijini Dar, wengingi wapata tuzo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015.Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.

 

11 years ago

GPL

JAHAZI: UZINDUZI WA ALBAMU MPYA 'CHOZI LA MAMA' WAFANA DAR LIVE USIKU HUU

Meneja wa Jahazi Modern Taarab, Mohamed Rashid Mauji ' Father Mauji' akizindua na shabiki wa Jahazi albamu mpya iitwayo Chozi la Mama. Mwimbaji nyota wa muziki wa taarab nchini, Mzee Yusuph (kulia) akiongea jambo kabla ya uzinduzi akiwa na Aisha Abushiry 'Mama  wa madikodiko' (katikati) kutoka pilipili FM ya Kenya.…

 

11 years ago

GPL

USIKU WA UHURU DMV‏

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Januari Makamba akiongozana na mkewe Ramona Makamba  wakiwasili ukumbini na kulakiwa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchinii Marekani na Mexico Afisa Paul Mwafongo akiwemo Dj Luke wakati walipokuwa wakiingia ukumbini Laurel, Maryland kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara iliyofanyika Jumamosi Dec 7, 2013 na kuhudhuriwa na umati wa wakazi wa DMV wakiwemo marafiki zao kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani