Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Usimamizi deni la Taifa, Serikali yashauriwa kuanzisha Ofisi ya pamoja.

Na Ephrasia Mawalla,

Dar es Salaam.

 

Mtandao wa Madeni Tanzania umeitaka Serikali kutunga sheria ya kuanzisha Ofisi ya pamoja ya kusimamia deni la taifa ili kuwawezesha watendaji, Serikali na wakopeshaji kudhibiti uhalifu  katika mfumo wa ukopaji na ulipaji wa deni la taifa.

 

Utafiti juu ya deni la taifa umeonyesha kuwa usimamizi wa deni la taifa nchini uko chini ya kamati mbili ambayo wajumbe wake ni maafisa waandamizi kutoka wizara tisa jambo linalochangia udhaifu katika utekelezaji wa...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, TAMISEMI NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA NA MUUNGANO KUANZISHA PROGRAMU YA PAMOJA WA UPANDAJI MITI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe akizungumza kwenye kikao cha pamoja kati yake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe. Januari Makamba (kulia) leo tarehe 29 Desemba 2015 katika ukumbi wa Selous Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii  Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuipa majukumu Kamati Maalum ya Wataalam ya kutengeneza andiko maalum litakalotumika kuandaa Programu ya pamoja ya kitaifa ya upandaji miti nchi nzima kuanzia mijini...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuanzisha benki kwa waajiriwa binafsi ya mikopo

Serikali imeshauriwa kuanzisha benki ya Vijana ambayo itatoa mikopo kwa vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi pamoja na wasomi mbalimbali wanaotaka kujiajiri wenyewe.

Kukosekana kwa benki hiyo na taasisi za kifedha zinazohudumia  vijana kunatajwa kuwa miongoni mwa changamoto inayodumaza hali ya uchumi wa Taifa kutokana na asilimia kubwa ya nguvu kazi ya vijana kutotumika ipasavyo  baada ya vijana wengi kukosa ajira katika sekta rasmi.

 Asilimia kubwa ya vijana kwa sasa tatizo lao si elimu –...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI YAENDESHA MAFUNZO KWA TAASISI WADAU WA USIMAMIZI WA SHERIA

Mkurugenzi Msaidizi wa Mafunzo, Bibi Felista Tirutangwa (aliyesimama) akizungumza wakati wa kumkaribisha Mgeni Rasmi, Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Taasisi Wadau wa Usimamizi wa Sheria Juu ya Ripoti ya Ukaguzi ya CAG na Jinsi ya Kuitafsiri yaliyofanyika katika Hoteli ya Den France, Dar es Salaam. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad (aliyesimama) akizungumza wakati wa Mafunzo ya Taasisi Wadau wa...

 

11 years ago

Habarileo

MCT yashauriwa kuanzisha taasisi ya mafunzo ya habari

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetoa tuzo ya waandishi waliotukuka huku ikishauriwa ianzishe taasisi itakayotoa mafunzo ya habari kwa lengo la kuinua taaluma ya habari nchini.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA OFISI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI WAKIELIMISHWA KUHUSIANA NA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA(MUTUAL FUNDS) INAYOENDESHWA NA UTT AMIS

Ndugu, Issa Wahichinenda  Mkurugenzi wa uendeshaji wa UTT AMIS akitoa maada kuhusiana na fursa za uwekezaji katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja kwa wafanyakazi wa ofisi ya Mkaguzi wa hesabu za serikali katika kikao cha baraza la wafanyakazi kilicho fanyika hivi karibuni  Mtwara.
UTT AMIS ndiyo magwiji katika kuanzisha na kuendesha Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja (Mutual Funds) hapa nchini. Mpaka sasa UTT AMIS inaendesha mifuko mitano ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza Maisha, Mfuko wa...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI BARABARA ZA LAMI KM 51.2 MJI WA SERIKALI PAMOJA NA KUFUNGUA JENGO LA MAKAO MAKUU YA OFISI ZA TARURA JIJINI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff kuhusu mradi wa ujenzi wa Barabara za lami zenye jumla ya km 51.2 katika mji wa Serikali (Mtumba) mkoani Dodoma leo tarehe 11 Juni 2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa ujenzi wa Barabara za...

 

11 years ago

Mwananchi

Deni la Taifa sasa ni janga la Taifa

Bunge liliambiwa juzi kwamba Deni la Taifa limeongezeka kwa Sh8.2 trilioni kwa kipindi cha miezi saba tu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani