Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MCT yashauriwa kuanzisha taasisi ya mafunzo ya habari

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetoa tuzo ya waandishi waliotukuka huku ikishauriwa ianzishe taasisi itakayotoa mafunzo ya habari kwa lengo la kuinua taaluma ya habari nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA NJOMBE WAKABIDHIWA VYETI VYA USHIRIKI WA MAFUNZO YALIYOTOLEWA NA MCT

 Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe Mercy James akikabidhiwa cheti chake. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa kushirikiana na chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe (Njombe Press Club ) yenye lengo la kuwasaidia waandishi hao kuandika habari kwa kufuata weledi wa taaluma hiyo  Meneja wa kitucha redio Uplands Fm, Novatus Lyaruu akipokea cheti chake kama mshiriki wa mafunzo hayo Mwandishi wa habari wa gazeti la Majira na mtandao...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari

Mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari wafanyika katika Hotel ya Aishi Protea iliyoko Machame wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro Mtoa mada akiongea wakati wa mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus Makunga akiongea wakati akifungua katika mkutano huo Picha za pamoja ya mgeni rasmi na washiriki baada ya ufunguzi wa mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na Wahariri pamoja na...

 

10 years ago

StarTV

Usimamizi deni la Taifa, Serikali yashauriwa kuanzisha Ofisi ya pamoja.

Na Ephrasia Mawalla,

Dar es Salaam.

 

Mtandao wa Madeni Tanzania umeitaka Serikali kutunga sheria ya kuanzisha Ofisi ya pamoja ya kusimamia deni la taifa ili kuwawezesha watendaji, Serikali na wakopeshaji kudhibiti uhalifu  katika mfumo wa ukopaji na ulipaji wa deni la taifa.

 

Utafiti juu ya deni la taifa umeonyesha kuwa usimamizi wa deni la taifa nchini uko chini ya kamati mbili ambayo wajumbe wake ni maafisa waandamizi kutoka wizara tisa jambo linalochangia udhaifu katika utekelezaji wa...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yashauriwa kuanzisha benki kwa waajiriwa binafsi ya mikopo

Serikali imeshauriwa kuanzisha benki ya Vijana ambayo itatoa mikopo kwa vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi pamoja na wasomi mbalimbali wanaotaka kujiajiri wenyewe.

Kukosekana kwa benki hiyo na taasisi za kifedha zinazohudumia  vijana kunatajwa kuwa miongoni mwa changamoto inayodumaza hali ya uchumi wa Taifa kutokana na asilimia kubwa ya nguvu kazi ya vijana kutotumika ipasavyo  baada ya vijana wengi kukosa ajira katika sekta rasmi.

 Asilimia kubwa ya vijana kwa sasa tatizo lao si elimu –...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MCT yataja jopo la wajuzi wa habari

BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetangaza majina saba ya wajumbe wapya wa jopo la wajuzi wa uhuru wa habari wa kujiendeleza. Majina hayo yalitangazwa mjini Dodoma jana na Katibu Mtendaji...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete kuanzisha taasisi

RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa mara atakapostaafu nafasi hiyo ya juu ya uongozi, Desemba 5 mwaka huu anatarajia kuanzisha Taasisi ya maendeleo Afrika na Dunia. Aidha alisema kuwa atarudi kijijini kwake Msoga, Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ambapo mbali ya kuanzisha taasisi hiyo ya maendeleo pia ataendeleza ufugaji na kilimo cha mananasi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Serikali yashauriwa kushirikisha vyombo vya habari

SERIKALI imeshauriwa kuvishirikisha vyombo vya habari katika mchakato mpya wa Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs), ili viweze kuielimisha jamii kutokana na nafasi kubwa ilivyo navyo. Rai hiyo, ilitolewa jijini Dar...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA BAJETI WIZARA YA HABARI

 Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo leo bungeni mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Said Mtanda akiwasilisha mapendekezo ya kamati yake kuhusu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa bajeti ya wizara hiyo leo mjini Dodoma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na Naibu Katibu Mkuu Prof....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani