Kikwete kuanzisha taasisi
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa mara atakapostaafu nafasi hiyo ya juu ya uongozi, Desemba 5 mwaka huu anatarajia kuanzisha Taasisi ya maendeleo Afrika na Dunia. Aidha alisema kuwa atarudi kijijini kwake Msoga, Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ambapo mbali ya kuanzisha taasisi hiyo ya maendeleo pia ataendeleza ufugaji na kilimo cha mananasi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
CHADEMA wapinga wake wa marais kuanzisha taasisi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewatuhumu Rais Jakaya Kikwete na Rais mstaafu Benjamin Mkapa kwa kugeuza Ikulu kuwa kituo cha kuanzisha taasisi binafsi. Shutuma hizo zilitolewa juzi na Mkurungenzi...
11 years ago
Habarileo16 Mar
MCT yashauriwa kuanzisha taasisi ya mafunzo ya habari
BARAZA la Habari Tanzania (MCT) limetoa tuzo ya waandishi waliotukuka huku ikishauriwa ianzishe taasisi itakayotoa mafunzo ya habari kwa lengo la kuinua taaluma ya habari nchini.
9 years ago
CCM BlogBARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)LATOA KIBALI KWA TAASISI YA UHASIBU (TIA) MBEYA KUANZISHA KOZI NYINGINE ZA SHAHADA YA MASOKO
Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya .
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) latoa kibali kwa Taasisi ya Uhasibu (TIA) Mbeya kuanzisha kozi nyingine za shahada ya masoko
10 years ago
Dewji Blog18 Sep
Kinana amsifu Mama Salma Kikwete kuanzisha shule ya WAMA Nakayama
Katibu Mkuu wa CCM, ADULRAHMAN Kinana akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya WAMA NAKAYAMA aliposimama kwa muda akitokea ziara ya Kisiwa cha Mafia kwenda Dar es Salaam. Alimpongeza Mama Salma Kikwete kwa kitendo cha kuanzisha shule hiyo yenye manufaa makubwa kwa watoto ya kike wanaotoka sehemu mbalimbali nchini kwenda kusoma hapo. Pia alitumia furssa hiyo kuwapongeza walimu wa shule hiyo kwa kazi kubwa wanaoifanya kiasi cha kufanikisha wanafunzi kufanya vizuri katika mtihani wa...
10 years ago
Michuzi01 Oct
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qxZ5wovYqk4/Vi4kOdMWyfI/AAAAAAAIC2Y/-Q1PBPNUECs/s72-c/New%2BPicture.png)
RAIS KIKWETE AMTEUA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA TEA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
![](http://1.bp.blogspot.com/-qxZ5wovYqk4/Vi4kOdMWyfI/AAAAAAAIC2Y/-Q1PBPNUECs/s1600/New%2BPicture.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA). Uteuzi huo ulianza Oktoba 18, mwaka huu, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Laurent alikuwa Katibu wa Taasisi hiyo ya TEA na ndiye amekuwa anakaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu.
Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu,DAR ES...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Laurent.jpg)
RAIS KIKWETE AMTEUA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA TEA