Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USTADH MASOUD MAFTAH AKIWA VIWANJA VYA JANGWANI

Ustadh Masoud Maftah akiwa viwanja vya jagwani  sambamba na  mgombea urais kupitia chama tawala CCM dkt Magufuli, hapa ustadh maftah akipata ukodak  na mwanachama wa ccm aliekunywa maji ya bendera.Ustadh Masoud Maftah ambae pia ni mwenyekiti wa CCM Conventional Club akipata ukodak viwanja vya Jangwani wakati wa kufunga kampeni za ccm mkoa wa Dar-es-Salaama.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA UKAWA WAFANYIKA VIWANJA VYA JANGWANI.

 -Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakionesha hati za waraka walizotiliana saini za ushirikiano katika viwanja vya Jangwani Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalimu Seif Sharifu Hamad , Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia. Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalimu Seif Sharifu Hamad ,...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kunguruma viwanja vya Jangwani leo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinatarajiwa kuzindua kampeni zake za urais, ubunge na udiwani nchi nzima katika viwanja vya Jangwani leo, katika mkutano utakaorushwa moja kwa moja na televisheni na redio mbalimbali nchi nzima.

 

9 years ago

Mwananchi

NEC imebabaisha suala la viwanja vya Jangwani

Katikati ya wiki kuliibuka mgogoro baina ya Chadema, CCM, Tume ya Uchaguzi na Ofisi ya Manispaa ya Wilaya ya Ilala kuhusu matumizi ya viwanja vya Jangwani kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za urais za Chadema.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wazindua kampeni viwanja vya Jangwani Dar

Baada ya kusubiri kwa takribani wiki moja, hatimaye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wazindua kampeni zao jijini Dar es Salaam leo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kumekucha uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu CCM, Viwanja vya Jangwani leo

dafKatibu Muenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Juma ‘Gadafi’ akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisi kwake uliofanyika mapema Agosti 22, kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya uzinduzi wa mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu wa chama hicho utaofanyika leo viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Na Dotto Mwaibale   CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam kimetangaza ratiba ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa chama hicho utakaofanyika leo...

 

9 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Jumapili viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Marais Wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mhe Benjamin William Mkapa wakimnadi mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara uliovutia umati uliovunja rekodi kwa wingi katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es alaam Jumapili Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais Kikwete na Rais Shein pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa Waziri...

 

10 years ago

GPL

ASWAR SUNNA WASWALI IDD LEO KWENYE VIWANJA VYA JANGWANI JIJINI DAR

Waumini wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam,wakiwa wamejumuika pamoja kwenye viwanja vya Jangwani jijini kwa swala ya Idd el Hajj mapema leo asubuhi.Waislam hawa wanaungana na wenzao waliopo kwenye Idada ya Hija huko Makka.
Waumini wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam wakisoma dua mara baada ya Swala ya Idd el...

 

10 years ago

Michuzi

Aswar Sunn waswali Idd leo kwenye viwanja vya Jangwani jijini Dar

 Waumini wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam,wakiwa wamejumuika pamoja kwenye viwanja vya Jangwani jijini kwa swala ya Idd el Hajj mapema leo asubuhi.Waislam hawa wanaungana na wenzao waliopo kwenye Idada ya Hija huko Makka. Waumini wa Dini ya Kiislam wa dhehebu la Aswar Sunni kutoka maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam wakisoma dua mara baada ya Swala ya Idd el Hajj iliyoswaliwa mapema leo asubuhi kwenye viwanja vya Jangwani,jijini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani