Utafiti wa Tadip wampaisha Lowassa
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tanzania Development Initiatives Program (Tadip), iliyofanya utafiti wa “Kuelekea Uchaguzi Mkuu Watanzania wanasemaje” imeonyesha mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, anaongoza kwa asilimia 54.4 na mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli akifuatia kwa asilimia 40.
Utafiti huo umekuja siku chache tu baada ya awali uliotolewa na Taasisi ya Twaweza kuonyesha Dk. Magufuli anaongoza kwa asilimia 65 na Lowassa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
USALITI WAMPAISHA AUNT DUBAI
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Lowassa: Majibu ya utafiti Oktoba 25
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.

Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Vijimambo12 Aug
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”

HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO
