Lowassa: Majibu ya utafiti Oktoba 25
Matokeo ya utafiti wa Twaweza kuhusu Uchaguzi Mkuu yamepingwa na wasomi, wanaharakati na wanasiasa, akiwamo mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ambaye ameuponda na kueleza kuwa matokeo halisi yatapatikana Oktoba 25.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Jenista: Majibu ya wapinzani Oktoba 25
Kada wa CCM anayetetea ubunge wa Peramiho, Jenista Mhagama amewataka wapiga kura wake kupuuza sera za wapinzani wanaopita jimboni humo na kuwaporomoshea matusi wagombea wa chama hicho.
10 years ago
Mzalendo Zanzibar01 Sep
Mh.Lowassa alipojiuzulu majibu kwa Sita
http://m.youtube.com/results?q=lowassa%20alipojiuzulu&sm=3
The post Mh.Lowassa alipojiuzulu majibu kwa Sita appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Mwananchi03 Aug
VIONJO VYA WIKI: Usajili wa Lowassa Ukawa umeacha maswali yanayohitaji majibu
Nimeamini kuwa kumbe wanasiasa nchini mwetu siyo watu unaoweza kuwaamini, tena kwa asilimia 100.
10 years ago
Vijimambo
Mbunge Edward Lowassa kakaribishwa UKAWA, amejiunga nao? Majibu ni haya kwa Mbatia… (Audio)

“Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje” Hii ni moja ya sentensi ambazo Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliziongea Arusha May 30 2015 alipotangaza nia ya Kugombea Urais kupitia CCM. SOURCE:MILLARDAYO.COM
10 years ago
Vijimambo26 Sep
Utafiti wa Tadip wampaisha Lowassa
.jpg)
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tanzania Development Initiatives Program (Tadip), iliyofanya utafiti wa “Kuelekea Uchaguzi Mkuu Watanzania wanasemaje” imeonyesha mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, anaongoza kwa asilimia 54.4 na mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli akifuatia kwa asilimia 40.
Utafiti huo umekuja siku chache tu baada ya awali uliotolewa na Taasisi ya Twaweza kuonyesha Dk. Magufuli anaongoza kwa asilimia 65 na Lowassa...
10 years ago
Mwananchi05 Aug
Lowassa atamba watashinda uchaguzi asubuhi Oktoba 25
Mkutano Mkuu wa Chadema, kwa kauli moja, umempitisha waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa mgombea wake wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, papo hapo mwanasiasa huyo akasema Chadema itachukua nchi asubuhi.
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.

Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Vijimambo12 Aug
Lowassa ni mbinafsi “Watanzania mnatakiwa kufahamu kuwa mnapokutana na Lowassa, Ninyi sio kitu bali kitu ni Lowassa,”

HAMFREY POLEPOLE AMGALAGAZA VIBAYA MCHUNGAJI MSIGWA KWENYE MDAHARO

Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania