Jenista: Majibu ya wapinzani Oktoba 25
Kada wa CCM anayetetea ubunge wa Peramiho, Jenista Mhagama amewataka wapiga kura wake kupuuza sera za wapinzani wanaopita jimboni humo na kuwaporomoshea matusi wagombea wa chama hicho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi01 Sep
Makamba, Filikunjombe, Jenista warejeshewa wapinzani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza kuwarejesha wapinzani kwenye majimbo manne kati ya matano yaliyoripotiwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kupita bila kupingwa.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Lowassa: Majibu ya utafiti Oktoba 25
Matokeo ya utafiti wa Twaweza kuhusu Uchaguzi Mkuu yamepingwa na wasomi, wanaharakati na wanasiasa, akiwamo mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa ambaye ameuponda na kueleza kuwa matokeo halisi yatapatikana Oktoba 25.
10 years ago
Mwananchi19 Jun
DK Shein: Nitawashinda wapinzani Zanzibar Oktoba
Zanzibar. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein jana alichukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kuteua tena kugombea urais wa Zanzibar huku akitamba kuwa ataendeleza wimbi la ushindi dhidi ya wapinzani katika Uchaguzi Mkuu ujao.
10 years ago
IPPmedia19 Oct
Deputy Education Minister, Jenista Mhagama
IPPmedia
IPPmedia
Form one registration is here again as parents and guardians strive to secure the best private secondary schools for their children by booking for an entrance examination through a registration form that costs between Sh10,000 and Sh20,000. This follows the ...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Jenista atoa siku 14 kukagua mikataba ya ajira
Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ametoa siku 14 kwa maofisa kazi wote nchini, kukagua mikataba ya ajira kama inaendana na kanuni na sheria za ajira nchini. Â Â Â
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Jenista: Kukitokea maafa El Nino, kamati kuwajibishwa
Serikali imesema itawawajibisha wajumbe wa kamati za maafa watakaoshindwa kuchukua hadhari dhidi ya maafa yatakayosababishwa mabadiliko ya tabia ya nchi na mvua za El Nino kwenye maeneo yao.
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Majaliwa ampokea Waziri Jenista na Naibu Mawaziri Mavunde na Possi
![IMGS5299](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/12/IMGS5299.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2YUZFmVfcs0/VTdaPqnL1TI/AAAAAAAHSd8/XHi9YOCOuNM/s72-c/unnamed%2B(87).jpg)
Mhe Jenista Mhagama afanya Ziara ya Kiserikali katika Bunge la Zambia
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe Jenista Mhagama tarehe 21 April 2015 alifanya Ziara ya Kiserikali katika Bunge la Zambia. Dhumuni ya ziara hiyo ilikuwa ni kujifunza taratibu na mambo mbali mbali yanayohusiana na Bunge la Zambia. Katika ziara hiyo Mhe Waziri aliongozana na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Balozi Grace J. Mujuma.![](http://3.bp.blogspot.com/-2YUZFmVfcs0/VTdaPqnL1TI/AAAAAAAHSd8/XHi9YOCOuNM/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
Mhe. Jenista Mhagama na Mhe Balozi Grace Mujuma wakipewa maelezo na Spika wa Bunge la Zambia Jaji, Dkt. Patrick...
![](http://3.bp.blogspot.com/-2YUZFmVfcs0/VTdaPqnL1TI/AAAAAAAHSd8/XHi9YOCOuNM/s1600/unnamed%2B(87).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-QzkXwzR8kFo/VTdaPHeLEgI/AAAAAAAHSds/nSOaUZqcw9o/s1600/unnamed%2B(89).jpg)
11 years ago
Michuzi15 Jun
MH. JENISTA MHAGAMA AFUNGA MAFUNZO YA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA LUDEWA JIJINI DAR
![3w](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/3w.jpg)
![4w](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/4w.jpg)
![5w](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/5w.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania