Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DK Shein: Nitawashinda wapinzani Zanzibar Oktoba

Zanzibar. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein jana alichukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kuteua tena kugombea urais wa Zanzibar huku akitamba kuwa ataendeleza wimbi la ushindi dhidi ya wapinzani katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kamati maalum ya CCM Zanzibar yapitisha jina la Dkt. Shein kugombea urais kwa tiketi ya CCM Uchaguzi mkuu wa oktoba 2015

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni Makamu  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein, wakati walipowasili kwenye Ukumbi wa Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katika kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar, ambacho leo kilipitisha jina la Dkt. Shein kuwania nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM. (Picha na OMR).

2

 

9 years ago

Mwananchi

Jenista: Majibu ya wapinzani Oktoba 25

Kada wa CCM anayetetea ubunge wa Peramiho, Jenista Mhagama amewataka wapiga kura wake kupuuza sera za wapinzani  wanaopita jimboni humo na kuwaporomoshea matusi wagombea wa chama hicho.

 

10 years ago

Habarileo

Wapinzani wanajisumbua bure -Shein

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM- Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema juhudi zinazofanywa na wapinzani kutaka kuving’oa madarakani vyama vilivyoleta ukombozi katika bara la Afrika kamwe hazitafaulu.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azindua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizundua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar kwa kukata utepe kuashiria kuzindua Mfuko huo na kukabidhi Shirika la Bima Zanzibar Cheki ya shilingi milioni 60 kwa ajili ya mfuko huo kulipa Bima kwa Wakulima watakaoanguka katika mikarafuu wakati wa uchumaji. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki ya shilingi milioni 60 Mkurugenzi Mtendaji wa SAhirika la...

 

10 years ago

Vijimambo

Vijana wa CCM Zanzibar Waunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar Dk Shein

Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia mamia ya vijana baada ya kupokea matembezi ya mshikamano na kufanya mkutano wa hadhara kwenye vianja vya Magogoni Kwa Mabata mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongeza hotuba ya Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibr Dr. Ali Mohamed Shein aliyoitoa tarehe 12/1/2015 katika viwanja vya Amani mjini Zanzibar.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ZANZIBAR) Umati wa vijana ukiwa kwenye mkutano huo uliofanyika kwenye...

 

9 years ago

GPL

MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na Wanachama wa CCM katika viwanja vya garagara mtoni akiwa katika mikutano yake ya kampeni ya kugombea Urais wa Zanzibar. kwa kupata ridhaa za Wananchi kuongoza Zanzibar kwa Maendeleo ya Wananchi wa Zanzibar katika sekta mbalimbali na kudumisha Amani na Utulivu katika Visiwa vya Unguja na Pemba. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR DR MOHAMED SHEIN AFANYA UFUNGUZI WA HOTEL YA HYATT ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Hotel ya Park Hyatt Zanzibar iliyopo Mambo Msiige Mji Mkongwe wa Zanzibar (kulia) Kaimu Waziri wa Fedha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini (kushoto) Mmiliki wa Hoteli hiyo Sheikh Ali Sayeed AlbawardyRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akifungua pazia kuashiria ufunguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani