Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jenista atoa siku 14 kukagua mikataba ya ajira

Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ametoa siku 14 kwa maofisa kazi wote nchini, kukagua mikataba ya ajira kama inaendana na kanuni na sheria za ajira nchini.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Makonda atoa saa 48 kwa mwekezaji kutoa mikataba ya ajira

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametoa siku mbili kwa mmiliki wa Kiwanda cha kukarabati magari cha Sringcity Enterprises kuwapa wafanyakazi wao mikataba ya ajira ama sivyo atakifungia.

 

9 years ago

Mwananchi

Makonda atoa saa 24 kwa mwekezaji kutoa mikataba ya ajira

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametoa siku mbili kwa mmiliki wa Kiwanda cha kukarabati magari cha Sringcity Enterprises kuwapa wafanyakazi wao mikataba ya ajira ama sivyo atakifungia.

 

10 years ago

Mwananchi

Zijue aina za mikataba ya ajira

Ule msemo wa kazi nzuri ukiwa hujaipata na huwa mbaya ukiwa nayo, unaweza ukaonyesha uhalisia wakati unapopaswa kufahamu ni aina ipi ya mkataba wa ajira uliosainiwa kati ya mwajiri na mwajiriwa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Jenista Muhagama afunga mafunzo ya siku 5 kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa

5

Mbunge wa Jimbo la Ludewa  Ndugu Deo Filikunjombe akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya ya Ludewa wakati wa kuhitimisha Semina ya Siku 5 ya Mafunzo kwa viongozi hao wa CCM iliyofanyika kwenye ukumbi wa Serengeti ,JB Belmont jijini Dar es Salaam. 1 Dk.Susan Kolimba akichangia mambo muhimu kwa viongozi wa CCM wilaya ya Ludewa wakati wa kuhitimisha mafunzo ya siku 5 kwa viongozi hao. 12 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mheshimiwa Jenista...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUFANYA OPERASHENI YA KUKAGUA VIBALI VYA AJIRA KWA WAGENI

Serikali imeamua muda wowote kuanzia mwezi huu kuanza ukaguzi wa vibali vya Ajira za Wageni nchini, kufuatia muda wa siku 14 kuisha uliotolewa na serikali katika tangazo la utolewaji wa vibali vya kazi kwa wageni nchini lililotiwa saini Desemba 14, mwaka huu, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Aiira, Vijana na Watu wenye ulemavu), Jenista Mhagama (Mb), ambaye aliwataka waajiri wote nchini kwa muda wa siku hizo wawe wametekeleza matakwa ya Sheria ya Kuratibu Ajira...

 

9 years ago

Habarileo

Mbowe ataka siku zaidi kukagua taarifa za BVR

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku tatu zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwa waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura katika mfumo wa (BVR) kuhakiki taarifa zao kuwa hazitoshi.

 

10 years ago

Habarileo

TPDC yapewa siku mbili kukabidhi mikataba ya gesi

KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imelipa siku mbili Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli Tanzania (TPDC), kuhakikisha inakabidhi mikataba na taarifa ya mikataba ya gesi kwa Katibu wa Bunge. Agizo hilo lilitolewa jana na Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe baada ya TPDC kushindwa kutekeleza maagizo ya kamati hiyo iliyotoa takribani mwaka mmoja, hivyo kushindwa kuendelea kupitia hesabu za shirika hilo za mwaka 2012/13.

 

10 years ago

Dewji Blog

Komredi Kinana amaliza ziara siku 9 Dodoma, azunguka KM 2289 kukagua miradi 73 na kufanya mikutano 91

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano baada ya kukagua ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Changaa, wilayani Kondoa, wakati wa ziara ya siku tisa iliyomalizika leo mkoani Dodoma ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Katika ziara yake hiyo aliyoambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ilikuwa ya mafanikio makubwa, kwani msafara wake...

 

9 years ago

Michuzi

MAKALLA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU TATU YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI JIJINI DAR

????????????????????????????????????Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kulia), akisalimiana na Afisa Ugavi Mkuu wa Bohari Kuu ya Maji, Datus Bahati mara baada ya kuwasili Bohari Kuu ya Maji wakati wa ziara yake ya siku tatu ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka mkoa wa Dar es Salaam (DAWASA) ambapo aliitimisha ziara hiyo Agosti 27, 2015 kwakukagua miradi iliyopo daraja la mpiji na Kerege na maungio ya maji ya wazo.IMG_2809Naibu Waziri wa Maji, Amos...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani