Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe ataka siku zaidi kukagua taarifa za BVR

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku tatu zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwa waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura katika mfumo wa (BVR) kuhakiki taarifa zao kuwa hazitoshi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ataka siku zaidi mjadala wa Escrow

Livingstone LusindeMBUNGE wa Mtera, Livingston Lusinde (CCM), ametaka kutengwa siku zaidi ya moja za kujadili ripoti ya sakata la akaunti ya Tegeta Escrow bungeni.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbowe aibua mapya mfumo wa BVR.

Asema mtaalamu alionya Tanzania haijawa tayari, Usajili ukiendelea utasababisha machafuko ya kisiasa.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amedai kuibua nyaraka zinazoonyesha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), ilishauriwa na mtaalamu wa mashine za BVR kutoka Marekani kuwa Tanzania haijawa tayari kwa teknolojia hiyo.
Akifungua kikao cha baraza la uongozi wa chama hicho Kanda za Nyanda za Juu Kusini jana alisema, Mshauri Mwelekezi kutoka Marekani Darell Geusz...

 

11 years ago

Mwananchi

RC ataka TFDA kukagua kiwanda haraka Mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo amewataka viongozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Kanda ya Ziwa, kuharakisha kufanya ukaguzi Kiwanda cha Kutengeneza Dawa za Binadamu cha Prince Phamaceutical kilichopo jijini Mwanza ili kianze kufanya kazi.

 

11 years ago

Habarileo

Mbowe ataka Ukawa wajiimarishe

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe kivyake katika mapambano ya kisiasa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema vyama hivyo, visitegemee nguvu ya umoja huo badala yake, vijiimarishe kuleta ushindani katika harakati zao za kisiasa wanazoendelea kuzifanya.

 

9 years ago

Michuzi

MBOWE ATAKA KAMPENI ZA KIISTARABU


Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kila chama kifanye  kampeni za kistaarabu ili kila mtu aende Ikulu  pasipo kuvuruga amani.

Mbowe ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati wa kuelezea masuala ya kampeni zinazoendelea kwa vyama vyote vya siasa, pia amesema kuwa kuna kauli za viongozi wa baadhi ya vyama ambazo haziridhishi katika kupiga kwao kampeni.
Mbowe amasema kauli ya watu hao ni ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Jenista atoa siku 14 kukagua mikataba ya ajira

Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ametoa siku 14 kwa maofisa kazi wote nchini, kukagua mikataba ya ajira kama inaendana na kanuni na sheria za ajira nchini.     

 

10 years ago

Mwananchi

UANDIKISHAJI: Njombe hawana taarifa za BVR

>Siku moja kabla ya kuanza uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Wapigakura, wakazi wengi wa Mkoa wa Njombe hawajui uwepo mchakato huo, huku wengine wakionyesha wasiwasi na muda utakaotumika.

 

10 years ago

Mwananchi

Mashine 1,600 zaidi za BVR zawasili nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uandikishaji wa wananchi kwenye Daftari la Wapigakura nchini utamalizika mwishoni wa mwezi ujao baada ya mashine 1,600 zaidi za kielektroniki kwa ajili ya kazi hiyo kuwasili juzi.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Siku zilizoongezwa BVR zitumike kikamilifu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza siku nne zaidi kwa wakazi wa Dar es Salaam kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura baada ya muda wa awali kumalizika leo.

Uandikishaji wa wapiga kura jijini Dar es Salaam uligubikwa na utata tangu siku ya kwanza, Julai 22 mwaka huu, huku mashine kadhaa za kielektroniki zinazotumika katika shughuli hiyo (BVR) zikiharibaka mara kwa mara.

Kwa namna yoyote ile muda wa takriban siku 10 uliotolewa awali na NEC usingetosha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani