Ataka siku zaidi mjadala wa Escrow
MBUNGE wa Mtera, Livingston Lusinde (CCM), ametaka kutengwa siku zaidi ya moja za kujadili ripoti ya sakata la akaunti ya Tegeta Escrow bungeni.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo16 Aug
Mbowe ataka siku zaidi kukagua taarifa za BVR
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku tatu zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwa waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura katika mfumo wa (BVR) kuhakiki taarifa zao kuwa hazitoshi.
10 years ago
Mwananchi22 Nov
Mjadala wa Escrow uko palepale
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Kikwete achochea mjadala Escrow
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Utulivu utawale mjadala wa Akaunti ya Escrow
10 years ago
Habarileo12 Nov
Mjadala wa Escrow wawa moto bungeni
RIPOTI ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu kuchotwa kunakodaiwa isivyo halali kwa fedha katika Akaunti ya Escrow, sasa haitajadiliwa bungeni.
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Makundi ya urais yatawala mjadala wa Escrow bungeni
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LG4v1FKIM7m5iM9CW5UmoWZhPdUQHzjMJK44piQPTHbsn3TVX7-ejwfgTaT-ZJ8k-QfbFxlMFMS3voyJgi9TY8S3EN3phk9X/escrow.jpg)
MJADALA WA SAKATA AKAUNTI YA ESCROW BUNGENI LEO
10 years ago
Habarileo26 Nov
Mama Maria: Mjadala wa Escrow uwe wazi
MJANE wa Rais wa Awamu ya Kwanza, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria Nyerere ameshauri mijadala inayogusa jamii, ikiwamo ile ya akaunti ya Tegeta Escrow ijadiliwe kwa kina ili kupatiwa ufumbuzi.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Kiongozi APPT ataka mjadala mkali muundo wa Serikali