Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siku zilizoongezwa BVR zitumike kikamilifu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza siku nne zaidi kwa wakazi wa Dar es Salaam kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura baada ya muda wa awali kumalizika leo.

Uandikishaji wa wapiga kura jijini Dar es Salaam uligubikwa na utata tangu siku ya kwanza, Julai 22 mwaka huu, huku mashine kadhaa za kielektroniki zinazotumika katika shughuli hiyo (BVR) zikiharibaka mara kwa mara.

Kwa namna yoyote ile muda wa takriban siku 10 uliotolewa awali na NEC usingetosha...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli aamuru Fedha zilizopaswa kutumika kugharamia Shamrashamra za siku ya Uhuru Desemba 9 sasa zitumike kujengea barabara ya Mwenge - Morocco, Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.
Tayari fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni nne zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo, linalopaswa...

 

9 years ago

Habarileo

Mbowe ataka siku zaidi kukagua taarifa za BVR

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku tatu zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwa waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura katika mfumo wa (BVR) kuhakiki taarifa zao kuwa hazitoshi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakala BVR wagoma, wadai posho ya siku nne

Mawakala wanaoandikisha vitambulisho vya wapigakura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR), katika Kituo cha Shule ya Msingi Umoja, wamegoma kuendelea na uandikishaji kwa madai ya kutolipwa posho.

 

10 years ago

GPL

BVR ZIONGEZWE, SIKU ZA KUJIANDIKISHA PIA ZIONGEZWE

Jaji Damian Lubuva. Baada ya kusema hayo niseme kuwa kazi ya kuandikisha wapiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Mkoa wa Dar es Salaam ilianza rasmi wiki iliyopita kwa mfumo wa teknolojia ya utambuzi wa alama za mwili kizingu Biometric Voters Registration -BVR. Kazi hiyo inafanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na inatarajiwa kukamilika Julai 31, mwaka huu.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Nec, Julius Malaba, wiki...

 

10 years ago

Mwananchi

Filamu zitumike kuboresha utamaduni

Kizazi cha sasa cha sanaa, hasa ya filamu na michezo ya kuigiza kinaonekana kuikamia biashara bila kujali hadhira yao ambayo ni jamii inayowazunguka.

 

9 years ago

Mwananchi

Tafiti za elimu zitumike kuwazindua wazazi

Mwaka 2010, asasi isiyo ya kiserikali ya Twaweza kupitia mpango wake wa Uwezo, ilitoa ripoti iliyoonyesha namna wazazi wengi mkoani Dar es Salaam wasivyo na uelewa wa mambo mengi kuhusu elimu ya watoto wao shuleni.

 

11 years ago

Mwananchi

Msimu ujao tiketi za kielektroniki zitumike

Mwanzoni mwa mwezi wa Februari Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilisitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vyote vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu Bara mpaka itakapotolewa taarifa nyingine.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Kura za maoni zitumike kuchuja makapi

NI takriban mwezi mmoja na nusu sasa tangu Chama cha Wananchi (CUF) kumaliza shughuli ya kuchuja wagombea wake ndani ya chama; vyama viwili vikuu vya siasa nchini, CCM na Chadema, navyo vimeanza mchakato wa kusaka wawakilishi wake bungeni.

Mchakato huo maarufu kama kura za maoni huwahusisha wanachama wa vyama husika, ambapo hupiga kura kupendekeza majina ya watu wanaofaa ama kuwa wabunge, madiwani, wawakilishi au masheha huko Zanzibar.

Hii ni nafasi ya mwanzo kabisa kwa wanachama...

 

11 years ago

Habarileo

Gharama za serikali tatu zitumike kusaidia walemavu

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ali Omar Makame ametaka gharama zitakazotumika kuanzisha serikali ya tatu zikatumike kuwasaidia watu wenye ulemavu wanaoishi katika dimbwi la umasikini miongoni mwa Watanzania walio wengi nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani