Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawakala BVR wagoma, wadai posho ya siku nne

Mawakala wanaoandikisha vitambulisho vya wapigakura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR), katika Kituo cha Shule ya Msingi Umoja, wamegoma kuendelea na uandikishaji kwa madai ya kutolipwa posho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Posho ya siku ni posho ya kujikimu siyo ya kujikirimia

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

11 years ago

Mwananchi

Tazara wagoma, wadai mishahara tangu Feb.

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), wamegoma kufanya kazi hadi Serikari itakapowalipa mishahara ya miezi mitatu.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wadai posho watajwe, waondolewe bungeni’ -Wananchi

Baadhi ya wananchi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametaka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai nyongeza ya posho, wajiorodheshe ili waweze kufahamika kwa majina na wanakotoka.

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka posho ya Sh500,000 kwa siku

Mzimu wa posho umeibuka upya katika Bunge la Katiba, safari hii wajumbe wake wa Kamati ya Uandishi wakiomba walipwe posho maalumu ya Sh500,000 kwa siku kutokana na kazi ya kuandika Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

 

11 years ago

Habarileo

Posho Bunge la Katiba Sh 300,000 kwa siku

BUNGE Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi Jumatano ijayo ya Februari 26, mwaka huu likiwa na wajumbe 629 na imethibitishwa kuwa kila mjumbe atalipwa Sh 300,000 kwa siku. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashillilah, aliwaambia waandishi wa habari hayo jana ndani ya ukumbi mpya wa Bunge, walipoingia kwa mara ya kwanza ndani ya ukumbi huo kuangalia mfumo wa kisasa wa sauti na mambo mengine.

 

11 years ago

Michuzi

WENYE BUCHA MOSHI WAGOMA KUUZA NYAMA KWA SIKU MBILI


Baadhi ya mabucha yaliyofungwa.
Wauzaji wa Nyama wakiwa nje ya mabucha yao baada ya kugoma kuuza nyama. Baadhi ya mabucha yaliyofungwa. Na Dixon Busagaga wa 
Globu ya Jamii, Moshi
WAKAZI wa mji Manispaa ya Moshi, wametaabika kwa siku mbili sasa wakiwa hawapati kitoweo cha Nyama baada ya halmashauri ya manispaa hiyo na mamlaka ya udhibiti wa Chakula na dawa TFDA kuyafunga maduka ya nyama ambayo hayakidhi vigezo vya afya.
Katika hali inayoonesha kuwapo kwa mgomo wa wauza...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Siku zilizoongezwa BVR zitumike kikamilifu

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza siku nne zaidi kwa wakazi wa Dar es Salaam kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura baada ya muda wa awali kumalizika leo.

Uandikishaji wa wapiga kura jijini Dar es Salaam uligubikwa na utata tangu siku ya kwanza, Julai 22 mwaka huu, huku mashine kadhaa za kielektroniki zinazotumika katika shughuli hiyo (BVR) zikiharibaka mara kwa mara.

Kwa namna yoyote ile muda wa takriban siku 10 uliotolewa awali na NEC usingetosha...

 

9 years ago

Habarileo

Mbowe ataka siku zaidi kukagua taarifa za BVR

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema siku tatu zilizotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) kwa waliojiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura katika mfumo wa (BVR) kuhakiki taarifa zao kuwa hazitoshi.

 

11 years ago

Michuzi

mhe livingtsone lusinde aongelea bunge maalumu la katiba, na posho ya laki saba kwa siku

Mbunge wa Jimbo la Mtera Mh. Livingstone Lusinde akiongea baada ya kusajiliwa kama mjumbe wa kamati ya Bunge Maalumu la Katiba mjini Dodoma Februari 16, 2014

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani