WENYE BUCHA MOSHI WAGOMA KUUZA NYAMA KWA SIKU MBILI
Baadhi ya mabucha yaliyofungwa.
Wauzaji wa Nyama wakiwa nje ya mabucha yao baada ya kugoma kuuza nyama.
Baadhi ya mabucha yaliyofungwa.
Na Dixon Busagaga wa
Globu ya Jamii, Moshi
WAKAZI wa mji Manispaa ya Moshi, wametaabika kwa siku mbili sasa wakiwa hawapati kitoweo cha Nyama baada ya halmashauri ya manispaa hiyo na mamlaka ya udhibiti wa Chakula na dawa TFDA kuyafunga maduka ya nyama ambayo hayakidhi vigezo vya afya.
Katika hali inayoonesha kuwapo kwa mgomo wa wauza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6aOMGtxdGe47t87MaiIGg1mpHpR2NVEAbVO39MPPpKk0-QDlnRTsnVw8Cn-vDz2iEWm4Z4*O2FL0IYYh5l-dKy5ltpQ*FUS2/mpekezs.jpg)
MWANA KUMILIKI BUCHA SI KULA NYAMA DEILE!
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
Wafanyabiashara wa Nyama Kibaha wagoma
Na Mwandishi wetu
Wafanyabiashara wa mabucha mjini Kibaha wamegoma kufanya shughuli hiyo kufuatia halmashauri ya mji wa Kibaha kuwahamisha kutoka machinjio ya awali na kuwapeleka katika machinjio mpya ambayo hawakuridhika nayo kutokana na kukosekana kwa miundombinu ya kutosha.
Msemaji wa wafanyabiashara aliyejitambulisha kwa jina la Bw.Athuman Mkanga amesema wao wameamuamua kuchukua uamuzi huo kufuatia halmashauri kutoa tamko la lazima ambalo linawataka wao kuhamia eneo hilo na...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NhEWNeZFDm0/U8l-SsEqEOI/AAAAAAAF3iA/F0tGINjlIQM/s72-c/c12d840eef0bf692177f.jpg)
WACHINJA NYAMA MJINI KIBAHA WAGOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-NhEWNeZFDm0/U8l-SsEqEOI/AAAAAAAF3iA/F0tGINjlIQM/s1600/c12d840eef0bf692177f.jpg)
SAKATA la Umoja wa wafanyabiashara wa nyama na mazao yake wilayani Kibaha mkoani Pwani (UWABINK) leo umechukua sura mpya baada ya kufanya mgomo wa kutochinja ngombe na kusababisha nyama kukosekana kwenye mji wa Kibaha na vitongoji vyake.
Kutokana na mgomo huo wa kutochinja ngombe kumesababisha nyama kukosekana katika maeneo ya kuanzia Maili Moja hadi Visiga na Kibamba CCM wilaya ya Kinondoni Jijijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari msemaji wa umoja...
9 years ago
Mwananchi09 Nov
11 years ago
Mwananchi03 Mar
Afutiwa shitaka la kuuza nyama ya binadamu
10 years ago
Mtanzania18 Feb
Akamatwa akidaiwa kuuza nyama ya paka
Na Asifiwe George na Mwantum Saadi, Dar es Salaam
MUUZA mishikaki mmoja katika kituo cha daladala cha Temeke mwisho jijini Dar es Salaam maarufu kwa jina la Said Mishikaki, amekamatwa na kupigwa na wananchi kwa tuhuma za kuuza mishikaki ya nyama ya paka.
Said alikamatwa jana asubuhi baada ya taarifa kusambaa katika eneo hilo zikimtuhumu kwamba amekuwa na kawaida kuuza mishikaki ya nyama ya paka badala ya ng’ombe, mbuzi na wanyama wengine wanaoliwa.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio...
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Mbaroni akidaiwa kuuza nyama ya binadamu
10 years ago
Michuzi28 Apr
WANAFUNZI WA CHUO CHA UALIMU PATANDI WAZUIA BARABARA YA ARUSHA MOSHI KWA SAA MBILI
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/sabas-may10-2013%282%29%281%29.jpg)
kamanda wa polisi mkoa wa ArushaHali ya Sintofahamu imeukumba mji wa Tengeru leo Asubuhi baada ya wanafunzi wa chuo cha ualimu Patandi Kufunga barabara kwa muda wa masaa mawili na kuacha shughuli za maendeleo kusimama kwa muda huku magari ya abiria yanayokwenda katika mikoa ya Kilimanjaro,Tanga na Dar es salaam na mji mdogo wa usa river na maeneo mengine kupata adha hiyo.
Wanafunzi hao walizuia bara bara hiyo wakishinikiza madai yao kusikiliza kwani wameshatoa malalamiko yao kwa uongozi...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PrxoMNU6hxo/VDwvPne2OvI/AAAAAAAGp-s/9nR8hLkQC9s/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
CRDB Lumumba, Yaadhimisha Siku ya Huduma kwa Wateja Kwa Kuwakumbuka Wenye Ulemavu