Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WACHINJA NYAMA MJINI KIBAHA WAGOMA

Na John Gagarini, Kibaha
SAKATA la Umoja wa wafanyabiashara wa nyama na mazao yake  wilayani Kibaha mkoani Pwani (UWABINK) leo umechukua sura mpya  baada ya kufanya mgomo wa kutochinja ngombe na kusababisha nyama kukosekana kwenye mji wa Kibaha na vitongoji vyake.
Kutokana na mgomo huo wa kutochinja ngombe kumesababisha nyama kukosekana katika maeneo ya kuanzia Maili Moja hadi Visiga na Kibamba CCM wilaya ya Kinondoni Jijijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari msemaji wa umoja...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wafanyabiashara wa Nyama Kibaha wagoma

machinjo

Na Mwandishi wetu

Wafanyabiashara wa mabucha mjini Kibaha wamegoma kufanya shughuli hiyo kufuatia halmashauri ya mji wa Kibaha kuwahamisha kutoka machinjio ya awali na kuwapeleka katika machinjio mpya ambayo hawakuridhika nayo kutokana na kukosekana kwa miundombinu ya kutosha.

Msemaji wa wafanyabiashara aliyejitambulisha kwa jina la Bw.Athuman Mkanga amesema wao wameamuamua kuchukua uamuzi huo kufuatia halmashauri kutoa tamko la lazima ambalo linawataka wao kuhamia eneo hilo na...

 

9 years ago

Michuzi

Magufuli afanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kibamba,Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini na Kibaha mjini jijini Dar leo.

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo la Chalinze,Ndugu Ridhiwani Kikwete.Dkt Magufuli amefanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini,Kibamba na Kibaha mjini.Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha Ilani ya ccm kwa Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijini .Nduggu Hamoud Abuu Jumaa.Mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alipojichanganya kwenye mkutano wa CCM,maara baada ya kuvutiwa na sera za Mgombea Urais...

 

11 years ago

Michuzi

WENYE BUCHA MOSHI WAGOMA KUUZA NYAMA KWA SIKU MBILI


Baadhi ya mabucha yaliyofungwa.
Wauzaji wa Nyama wakiwa nje ya mabucha yao baada ya kugoma kuuza nyama. Baadhi ya mabucha yaliyofungwa. Na Dixon Busagaga wa 
Globu ya Jamii, Moshi
WAKAZI wa mji Manispaa ya Moshi, wametaabika kwa siku mbili sasa wakiwa hawapati kitoweo cha Nyama baada ya halmashauri ya manispaa hiyo na mamlaka ya udhibiti wa Chakula na dawa TFDA kuyafunga maduka ya nyama ambayo hayakidhi vigezo vya afya.
Katika hali inayoonesha kuwapo kwa mgomo wa wauza...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KAMPENI WA DR. MAGUFULI KIBAHA MJINI

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM Dr. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Kibaha mjini katika mkutano wa kampeni leo tarehe 22 mwezi wa kumi mwaka 2015.Wananchi waloshiriki mkutano wa kampeni wa Dr. John Pombe Magufuli mjini Kibaha wakiwa na bango lenye ujumbe wa pumzika kwa amani UKAWA.Baadhi ya wafuasi wa chama cha mapindzi CCM wakiwa wanaoshangilia na wengine walojichora miili yao wakimsikiliza Dr. Jo.hn Pombe Magufuli katika mkutano wa kampeni ulofanyika mjini Kibaha

 

10 years ago

Dewji Blog

Duka la kisasa la TIGO lafunguliwa mjini Kibaha

kbh6

Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Mhe.Eng Evarist Ndikilo akikata utepe kuzindua rasmi Duka Jipya la Tigo lililopo Kibaha, wanaoshuhudia  kutoka kushoto ni Mmiliki wa Hotel ya Njuweni Yusuph S. Mfinanga, Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles na mwisho kulia ni Meneja wa Tigo tawi la Kibaha Asnat Mboya.

kbh10

Meneja wa Tigo tawi la Kibaha Asnat Mboya akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Duka...

 

11 years ago

GPL

MBUNGE WA KIBAHA AWAPA KIWANJA WATANASHATI WA MJINI

Wasanii wa filamu Dokta Cheni na Chiki Mchoma, wakila sahani moja ya futari na watoto yatima.
Mshereheshaji maarufu Bongo, Zipompapompa, akipata futari na baadhi ya marafiki zake.
Mbunge wa Kibaha…

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana atinga Kibaha mjini, akagua na kufungua miradi ya maendeleo

1. Kinana akifyeka msitu kuzindua kambi ya Vijana ya Boko timiza

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kuvyeka miti wakati wa uzinduzi wa kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM, ya mafunzo ya kilimo katika eneo la Boko Timiza, Kibaha mjini mkoa wa Pwani. Katika kambi hiyo vijana wanatarajiwa kufanya mafunzo ya kilimo kwenye shamba la ekari 25.

1b. Kijana akiwahamasisha kwa wimbo vijana walioko kambi ya Boko Timiza, Kibaha

 Kijana akihamasisha vijana wenzake, walioko kwenye kambi hiyo ya mafunzo ya kilimo, eneo la Boko Timiza wilaya ya Kibaha mjini.

2. Kinana akipanda mti bada ya kuzindua ujenzi Ofisi ya CCM Kibaha

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda mti kwenye kiwanja...

 

5 years ago

Michuzi

CCM KIBAHA MJINI YAWAWEKA KITIMOTO WAPIGA DEBE WA WAGOMBEA- LUAMBANO

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
KATIKA kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ujao ,Chama Cha Mapinduzi (CCM),mjini Kibaha kimeanza kuwachukulia hatua baadhi ya wapambe wa wagombea ,wanaojipitisha kuwapigia debe wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi .

Aidha chama hicho kimepiga marufuku wagombea wanaojipitisha na wapambe wao ,kuacha mara moja kufanya hivyo kwani wanakiuka taratibu na maadili ya chama.

Akitoa taarifa kuhusiana na mkutano mkuu wa jimbo ,unaotarajia kufanyika march 2 mwaka huu, mjini...

 

11 years ago

Michuzi

TASAF YAFUNGUA WARSHA YA MIRADI YA UJENZI MJINI KIBAHA-PWANI LEO

 Washiriki wa warsha ya miradi ya ujenzi wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa miradi TASAF Amadeus Kamagenge mara baada ya kufungua warsha hiyo. Mkurugenzi wa miradi wa TASAF Amadeus Kamagenge akifungua warsha ya miradi ya ujenzi kwa wataalam wa halmashauri ya manispaa ya kibaha ikiwa ni moja ya mikakati ya kufanikisha mpango wa kunusuru kaya masikini unao Washiriki wa warsha ya miradi ya ujenzi wakimsikilza kwa makini mkurugenzi wa miradi TASAF Amadeus Kamagenge (hayupo picha)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani