MBUNGE WA KIBAHA AWAPA KIWANJA WATANASHATI WA MJINI
Wasanii wa filamu Dokta Cheni na Chiki Mchoma, wakila sahani moja ya futari na watoto yatima. Mshereheshaji maarufu Bongo, Zipompapompa, akipata futari na baadhi ya marafiki zake. Mbunge wa Kibaha…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi03 Feb
Mkutano wa M4C Operesheni Pamoja Daima,Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe Atua Kibaha na Chopa Nakuhutubia Mamia ya Wananchi wa Mji wa Kibaha
9 years ago
MichuziMagufuli afanya mikutano ya kampeni katika jimbo la Kibamba,Kawe,Chalinze,Kibaha vijijini na Kibaha mjini jijini Dar leo.
10 years ago
Habarileo30 Dec
Mbunge awapa somo wazazi
MBUNGE wa Morogoro Mjini, Aziz Abood ametoa mwito kwa wananchi kuhakikisha kuwa wanatenga fedha za mahitaji ya watoto wao na kuacha tabia ya kutumia fedha bila uangalifu.
9 years ago
VijimamboMKUTANO WA KAMPENI WA DR. MAGUFULI KIBAHA MJINI
11 years ago
MichuziWACHINJA NYAMA MJINI KIBAHA WAGOMA
SAKATA la Umoja wa wafanyabiashara wa nyama na mazao yake wilayani Kibaha mkoani Pwani (UWABINK) leo umechukua sura mpya baada ya kufanya mgomo wa kutochinja ngombe na kusababisha nyama kukosekana kwenye mji wa Kibaha na vitongoji vyake.
Kutokana na mgomo huo wa kutochinja ngombe kumesababisha nyama kukosekana katika maeneo ya kuanzia Maili Moja hadi Visiga na Kibamba CCM wilaya ya Kinondoni Jijijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari msemaji wa umoja...
10 years ago
Dewji Blog15 Jul
Duka la kisasa la TIGO lafunguliwa mjini Kibaha
Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Mhe.Eng Evarist Ndikilo akikata utepe kuzindua rasmi Duka Jipya la Tigo lililopo Kibaha, wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Mmiliki wa Hotel ya Njuweni Yusuph S. Mfinanga, Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles na mwisho kulia ni Meneja wa Tigo tawi la Kibaha Asnat Mboya.
Meneja wa Tigo tawi la Kibaha Asnat Mboya akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Duka...
5 years ago
MichuziMBUNGE YOSEPHER AWAPA MBINU WANAWAKE WANAOTAKA KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI UCHAGUZI MKUU
Makamu Mwenyekiti wa Chama Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Kaskazini na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia Chama hicho Yosepher Komba akiwa na...
10 years ago
Dewji Blog20 Sep
Kinana atinga Kibaha mjini, akagua na kufungua miradi ya maendeleo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kuvyeka miti wakati wa uzinduzi wa kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM, ya mafunzo ya kilimo katika eneo la Boko Timiza, Kibaha mjini mkoa wa Pwani. Katika kambi hiyo vijana wanatarajiwa kufanya mafunzo ya kilimo kwenye shamba la ekari 25.
Kijana akihamasisha vijana wenzake, walioko kwenye kambi hiyo ya mafunzo ya kilimo, eneo la Boko Timiza wilaya ya Kibaha mjini.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda mti kwenye kiwanja...
10 years ago
MichuziTANZIA: Mama mzazi wa katibu wa mbunge Al Shaimar Kweigyir afariki dunia leo Kibaha, Pwani