Makonda atoa saa 48 kwa mwekezaji kutoa mikataba ya ajira
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ametoa siku mbili kwa mmiliki wa Kiwanda cha kukarabati magari cha Sringcity Enterprises kuwapa wafanyakazi wao mikataba ya ajira ama sivyo atakifungia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Makonda atoa saa 24 kwa mwekezaji kutoa mikataba ya ajira
5 years ago
MichuziRC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Jenista atoa siku 14 kukagua mikataba ya ajira
11 years ago
Mwananchi31 Jul
Mwekezaji: Ni hatari mikataba ya taifa kuwa siri ya viongozi
5 years ago
MichuziRC MAKONDA ATOA SHEHENA YA FUTARI KWA MAKUNDI YA WATU WASIOJIWEZA.
Katika Shehena hiyo aliyotoa RC Makonda kila Mwananchi amepata vifurushi vyenye Mchele Kilo 5, Unga kilo 5, Sukari, kiroba cha Maharage na Mafuta ya kupikia.
Msaada huo wa...
9 years ago
MichuziWAZIRI WA KILIMO ATOA SAA 48 KWA KAMPUNI YA SPARKWAY LTD KULIPA BILLION 3.4 KWA WAKULIMA WA KOROSHO
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Mwigulu atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kulipa wakulima
Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mh.Mwigulu Lameck Nchemba akiongea jambo.
Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mh.Mwigulu Lameck Nchemba atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kulipa BIllion 3.4 kwa wakulima wa korosho Mkoa wa pwani.
Kufuatia agizo hio,Wakulima waliouza korosho hiyo wataanza kulipwa jumatatu ya tar.21.12.2015.
10 years ago
Mwananchi14 May
Ndesamburo ilivyotumia Sh1b kutoa ajira kwa vijana 1,000
5 years ago
MichuziUmmy Mwalimu: Tutandelea kutoa ajira kwa wauguzi nchini
Serikali imesema itaendelea kutoa kipaumbele katika ajira za wauguzi kadri nafasi zitakavyokuwa zikipatikana ili kuboresha huduma za afya nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati akizungumza na watumishi wa hospitali ya rufaa ya mkoa ya Mwananyamala katika Maadhimisho ya Siku ya Waguzi Duniani ambayo huadhimishwa tarehe 12 Mei kila mwaka. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Wauguzi; Sauti inayoongoza...