Ndesamburo ilivyotumia Sh1b kutoa ajira kwa vijana 1,000
Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, anaweza kuingia katika vitabu vya kumbukumbu kutokana na staili yake ya kuuaga uwanja wa kisiasa kwa kutazama tatizo la ajira kwa vijana, ambalo ni tatizo sugu na limekuwa likizungumziwa kisiasa kama bomu linalosubiri kulipuka.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLORIFLAME TANZANIA YATOA AJIRA KWA VIJANA 60,000 NCHINI- YATANGAZA BIDHAA ZAKE MPYA
10 years ago
Habarileo30 Mar
Ujenzi wa reli kutoa ajira 300,000
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta amesema Sh trilioni 14 zinatarajiwa kujenga reli mpya yenye urefu wa kilometa 2,561 ambayo itakuwa na kiwango cha ‘standardgauge’, mradi ambao utakuwa ni mkubwa kutekelezwa na Serikali tangu ilipopata Uhuru.
10 years ago
MichuziVIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/mYFIR4DpJyY/default.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar10 Sep
Sauti:Ajira kwa vijana
Repoti ya Salma Said:
The post Sauti:Ajira kwa vijana appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
YDF inavyotengeneza ajira kwa vijana
TAKWIMU zinaonyesha kuna jumla ya vijana milioni 16,195,370 ambapo takribani vijana milioni 1.2 humaliza elimu ya vyuo mbalimbali kila mwaka na kati yao vijana 200,000 huajiriwa kwa mwaka. Ikumbukwe kuwa...
9 years ago
Habarileo11 Sep
Samia aahidi ajira kwa 40% ya vijana
MGOMBEA mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, amesema katika ilani ya CCM ya awamu ya serikali ya tano, wameahidi kutoa ajira kwa asilimia 40 ya vijana ambazo zitatokana na viwanda, vikubwa na vidogo.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Kilimo ajira kwa vijana Kenya
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Makonda atoa saa 48 kwa mwekezaji kutoa mikataba ya ajira