Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utafiti:Salamu zaweza kutabiri Kiharusi

Utafiti mpya unaonesha kuwa hali ya afya ya mtu inaweza kubainika kulingana na udhabiti wa salamu zake

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Takataka zaweza kuwa chanzo cha kipato

Uzalishaji wa takataka kwenye Miji na Majiji unakwenda sambamba na jitihada za kuzitunza?

 

11 years ago

Mwananchi

Simu, kompyuta kutabiri hali ya hewa

Kila siku uvumbuzi wa kisayansi, hususan upande wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) unaongeza maarifa ya jinsi watu wanavyoweza kupata taarifa mbalimbali kupitia vifaa vya kielektroniki.

 

10 years ago

Michuzi

RASILIMALI ZAWEZA KUNUFAISHA SEKTA YA UWEKEZAJI NCHINI - MARK OTTY

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EY, Bw. Mark Otty, amesema Tanzania ina rasilimali nyingi ambazo zinahitaji watu kuwekeza, hasa katika sekta ya miundombinu, kilimo, huduma za Kifedha ,mawasiliano,madini pamoja na gesi asilia .Otty ameyasema hayo leo wakati wa alipokutana na waandishi wa habari kwenye ofisi ya kampuni hiyo hapa nchini,yenye makao yake makuu nchini Uingereza,amesema kutokana na rasilimali zilizopo zitavuta uwekezaji na uchumi wa nchi unaweza...

 

11 years ago

Mwananchi

Dawa za kupunguza unene, uzito zaweza kusababisha kifo ghafla

Je, wewe ni mnene na ungependa kupunguza uzito? Je, wewe ni mwanamke au msichana unayependa kuwa na umbo la kuvutia la namba nane? Kama jibu lako ni ndiyo kwa mojawapo ya maswali hayo hapo juu, inakupasa kuchukua tahadhari.

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu ugonjwa wa kiharusi

Moja ya changamoto za kiafya zenye matokeo mabaya zaidi tunazoshuhudia kwa sasa hapa Tanzania ni maradhi yatokanayo na changamoto zinazotokea kwenye mfumo wa damu.

 

11 years ago

GPL

FAHAMU AINA ZA KIHARUSI (STROKE)-2

WIKI iliyopita tulielezea ugonjwa wa kiharusi na aina zake na tukafafanua kwa nini unawapata watu. Endelea kuelimika. Iwapo mgonjwa ataathirika sehemu ya ubongo kwenye shingo kuelekea kwenye uti wa mgongo (brainstem), mgonjwa anaweza kuwa na dalili za kuhisi mabadiliko ya harufu, ladha, kusikia na  kuona, kulegea kwa misuli ya macho (ptosis),  kupungua kwa ufahamu na kulegea kwa misuli ya uso, ulegevu wa ulimi (kushindwa...

 

11 years ago

GPL

FAHAMU AINA ZA KIHARUSI (STROKE)

Kiharusi au kwa Kiingereza Stroke ni kitendo cha baadhi ya viungo vya mwili kuwa na ganzi au kutojiweza kufanya kazi zake za kawaida.Kuna aina mbili za kiharusi, lakini kabla ya kuchambua hayo tuangalie, ni nini kinasababisha mtu kukumbwa na ugonjwa huu? Mtu anaweza kupata dalili za ugonjwa huu wa kiharusi na baada ya dakika chake zikaisha.
Kiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au...

 

9 years ago

Global Publishers

Fahamu kinachosababisha kiharusi (Stroke)

stroke_hem_isoKiharusi kinampata binadamu baada ya eneo la ubongo kukosa damu kwa saa 24 ama zaidi au kunapotokea kizuizi cha damu au mishipa ya damu kushindwa kusafirisha damu au mshipa huo unapopasuka.

Kiharusi kimegawanyika katika aina kuu mbili kulingana na jinsi kinavyotokea, kwanza ni:
1. Kiharusi cha kukosa hewa kwenye ubongo kitaalamu huitwa Ischemic Stroke.
Aina hii ya kiharusi hutokea iwapo usambazaji wa damu katika sehemu ya ubongo hupungua na kusababisha tishu za ubongo za eneo lililoathirika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaolala sana kushikwa na kiharusi

Watu wanaolala kwa zaidi ya masaa manane kwa siku wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa kiharusi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani