Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utalii wa kijiografia unawezekana Mwanza

Nilikuwa Mwanza wiki iliyopita na moja ya jambo nililonivutia ni jiografia ya Mkoa wa Mwanza kwani unaweza kuwa kivutio kizuri cha utalii bila kutoka nje ya mkoa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mwanza; Jiji la utalii lisilotangazwa

Mwanza ni mji wenye mambo mengi ya kihistoria ambayo kwa umoja wake, mambo yao tunaweza kuyatumia kuimarisha utalii wa ndani na nje. Katika makala haya nitataja baadhi ya vivutio vya asili vya kihistoria na jinsi halmashauri ya jiji inavyoisahau, kuharibu au kutoijali kabisa.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tanzania ifaidike kijiografia’

Imeelezwa kuwa Tanzania imeshindwa kutumia fursa zake za kijografia na rasilimali ili kuendelea kiuchumi miongoni mwa nchi za Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Mwananchi

Safari ya Mwanza kuwa mji wa utalii bado

Nashukuru kwa simu chache nilizopata kutokana na makala yangu ya wiki iliyopita ambayo ilizungumzia Mwanza ina uwezo wa kuwa mji wa kiutalii, lakini mpaka sasa hakuna matangazo ya kutosha.

 

10 years ago

Vijimambo

TANAPA WAZINDUA KAMPENI YA KUTANGAZA UTALII WA NDANI JIJINI MWANZA.

Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwasili katika viwanja vya Yatch Club jijini Mwanza kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa Ndani.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari waliofika kwa ajili ya shughuli hiyo ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani.Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani.Kikundi cha Ngoma cha Bujorwa kikitoa burudani kwa wageni waalikwa.Meneja...

 

10 years ago

BBCSwahili

Upandikishaji wa kichwa sasa unawezekana

Wanasayansi wanaamini upasuaji wa upandikishaji wa kichwa cha mwanadamu katika mwili mwengine huenda ukafanikiwa.

 

11 years ago

GPL

UTAJIRI MWAKA HUU UNAWEZEKANA?

MWANDISHI, ERIC SHIGONGO KUNA mkanganyiko mkubwa sana kwa watu unapotamka neno utajiri. Wengi wana tafsiri zisizofanana unapotaka maana halisi ya neno hili ambalo kila mmoja analihitaji sana. Kitu kikubwa kinachochukuliwa na kila mmoja katika kutafsiri neno hili ni kuishi bila kuwa na matatizo ya kifedha, kwa sababu kutokuwa nazo ni sawa na kuishi katika ndoto mbaya sana. Unajihisi vibaya na hata utendaji wako wa kazi pale ulipo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU ATEMBELEA CHUO CHA USIMAMIZI WANYAMAPORI PASIANSI-MWANZA

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiangalia moja ya kompyuta maalum zinazotumiwa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza alipokwenda kukagua vifaa mbalimbali vilivyonunuliwa na Taasisi ya Buffet Foundation kwa jili ya mafunzo ikiwemo vitabu, kompyuta, magari na darubini.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akijaribu akikagua moja ya vitanda na hema linazotumiwa na wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi Wanyamapori Pasiansi mjini Mwanza...

 

10 years ago

Michuzi

TANAPA YAANDAA SEMINA YA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUKUZA UTALII JIJINI MWANZA

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Ndugu Allan Kijazi akizungumza jambo,wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Wahariri wa Habari Tanzania,mapema leo asubuhi jijini Mwanza.Ndugu Kijazi alisema kuwa Utalii ni sekta mtambuka na inachochea ukuaji wa sekta nyingine ikiwa ni pamoja na kilimo, usafirishaji wa anga na barabara, huduma za fedha, huduma za chakula na malazi kudorora kwa sekta nyinginezo.   
Katika ufunguzi wa Warsha hiyo,Ndugu Kijazi alisema kuwa, Kauli mbiu ya Mkutano wa mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUKUZA UTALII WAFANYIKA LEO JIJINI MWANZA

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Ndugu Allan Kijazi akizungumza jambo,wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Wahariri wa Habari Tanzania,mapema leo asubuhi jijini Mwanza.Ndugu Kijazi alisema kuwa Utalii ni sekta mtambuka na inachochea ukuaji wa sekta nyingine ikiwa ni pamoja na kilimo, usafirishaji wa anga na barabara, huduma za fedha, huduma za chakula na malazi kudorora kwa sekta nyinginezo.  "Hivyo kudorora kwa sekta hii huchangia kwa kiasi kikubwa kudorora kwa sekta nyingine. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani